Ona ulivyo huna akili!!
Ripoti inasema US imepeleka kiasi cha kikosi cha kijeshi kulinda raia wake.
Haijasema kuwaondosha raia wake.
Tumia akili sio makalio kufikiri.
Unadhani huo ukanda raia wa US wapo wapi kwa hakika kama sio Israel!?
Mpuuzi wahed wewe.
Soma hapo chini kwa msisitizo.
Kwanini USA asiseme hiko kikosi kina idadi gani na kinapelekwa wapi ama kambi ipi!??
Kwanini apeleke kikosi kipya ilhali ana kikosi cha askari 40,000 tayari ukanda huo!?
Mna divert kusema wanaenda kuhamisha raia.Ila ukweli hawaendi kuhamisha raia kumuunga mkono Israel.