Marekani yapeleka vikosi Liebanon kuokoa raia wake huku waziri mkuu Mikhail Mikat akikimbilia UNO kupeleka malalamiko kutokana na uchokozi wa Israel

Marekani yapeleka vikosi Liebanon kuokoa raia wake huku waziri mkuu Mikhail Mikat akikimbilia UNO kupeleka malalamiko kutokana na uchokozi wa Israel

Ona ulivyo huna akili!!
Ripoti inasema US imepeleka kiasi cha kikosi cha kijeshi kulinda raia wake.
Haijasema kuwaondosha raia wake.
Tumia akili sio makalio kufikiri.
Unadhani huo ukanda raia wa US wapo wapi kwa hakika kama sio Israel!?
Mpuuzi wahed wewe.
Mzee Neta piga kwenye pumbu bado wanahema
 
Mzee Neta piga kwenye pumbu bado wanahema
Soma hapo chini kwa msisitizo.
Kwanini USA asiseme hiko kikosi kina idadi gani na kinapelekwa wapi ama kambi ipi!??
Kwanini apeleke kikosi kipya ilhali ana kikosi cha askari 40,000 tayari ukanda huo!?
Mna divert kusema wanaenda kuhamisha raia.Ila ukweli hawaendi kuhamisha raia kumuunga mkono Israel.
Screenshot_2024-09-26-20-27-56-67_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Siku hizi Marekani anampelekaga vikosi kuokoa raia Tu sio vita kama alivyokuwa zamani! Kweli hata Bibi nae alikuwa binti
 
Hadi sasa Hezbollah wamepata faida ya bikra zaidi ya million 700,, Mademu wa Allah
 
Back
Top Bottom