Marekani yapiga kura ya turufu na kushikilia kwamba kipigo kiendelee Gaza

Kura moja ya Marekani imetosha kuharibu mpango wa Umoja wa Mtaifa kutaka vita visitishwe.....
Kwa kifupi HAMAS wakubali yaishe kwa kuachia mateka, na wenyewe kama vipi waihame Gaza, la sivyo itazidi kufanywa shamba....................

The United States exercises its veto at the UN Security Council to block a resolution calling for an immediate ceasefire in the war between Israel and Hamas in Gaza.

Thirteen members of the council vote in favor of the motion, while the United Kingdom abstains.

The US deputy representative at the UN, Robert Wood, says the resolution is “divorced from reality” and “would have not moved the needle forward on the ground.”

The Arab-backed measure, which was slammed by Israel, described the humanitarian situation in Gaza as “catastrophic.” It called for the protection of civilians, the immediate and unconditional release of all the hostages Hamas is still holding, and humanitarian access to the Gaza Strip.
Mr uharo wanajesho wa Israel wanapofuliwa macho huko wajiandae kupokea masanduku ya maiti.

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1733294468533473357?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
huna huruma kwa mauaji ya watoto ndg yangu. Angalia aljazera utapata picha. Tuache ushabiki ndg zangu.
Nahisi wengi humu ndani hawaangalii Al Jazeera, hii sio vita ya kushabikia hata kidogo Kwa jinsi watoto wanavyokufa na wamama inaumiza Sana moyo sioni sababu ya kushabikia Israel au Hamas kwasababu hakuna faida yeyote wamepata Hamas wala Israel..
Ebu fikiria picha kama hii 20231208_203240.jpg
 
Unachekesha Jenerali ustaadh adiosamigo, vipi uko mstari wa mbele maeneo gani hapo Gaza🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi nipo kwenye front line ya JF lakini nafahamu wazi Israel kisha kwama hawezi vita, we uko front line ya Fox news au
 
US kawaambia wazi why hawalaan tukio la ugaidi la Hamas badala yake wanailaumu Israel .
Hamas wameua wazee, watoto, watu wa mataifa mbalimbali na mtanzania akiwepo na mwingine haijulikani alipo.Hamas wamebaka. Yote hayo UAE, mpeleka azimio hayaoni anapeleka azimio kwa kuwa anahuruma na magaidi ya hamas.
Hili lifamilia la beki tatu hajir ni laaana tupu kwa dunia no wonder linatumika fully na shetani. shetani kamtumia hajir kuvuruga familia ya mzee Ibrahim, shetan akatumia lifamilia la hajiri kuanzisha lidini la kishetani la mtumwa mudi (kobaaz wanamuita mtume wakati ni mtumwa wa shetani).
Watoto wa hajir wanajitoa faham (any way ni wana wa shetani hivyo si ajabu) tuliwaambia hapa baada ya truce kuisha kipigo kitaendelea na wafuasi wa shetani hapa JF wataanza kulialia na kweli imekuwa hivyo.
Any way nawaombea sana wafuasi wa mudi na shetan Mungu awafungue akili zao na nafsi zao wapate kumjua Mungu wa kweli Yesu ili wapate neema ya wokovu kabla ya muda wa neema kuisha maana muda wa Yesu kunyakua kanisa umekaribia sana.
Kwa hiyo mtu akimbaka mama yako na kumuua wee utaenda kubaka na kuua ukoo mzima?

Hata kama Hamasi walikosea bado haiwahalishi Israel kuua raia wema. Ni ugaidi huo
 
Mfano wako ni irrelevant kabisaa.

Halaf acha lugha chafu mzazi wangu amekukosea nini?

Kuwa na staha. Unaelewa maana ya vita? au unajiandikia tu?
Vita huwa inachagua huyu mwema huyu si mwema? Hamas kaanzisha vita tena jihad unaelewa? au unajitoa fahamu? so ulitaka Israel ichekecheke tu? Tanzania ilivamiwa na uganda na ilipigana vita vikali iliyogharimu maisha na mali na uchumi wa Tanzania. Na raia wema wengi tu walikufa.
Magaidi ya hamas yameua raia kibao wasiokuwa na hatia akiwepo mtanzania au huyu sio raia mwema kwako?
Magaidi ya hamas yamebaka ulitegemea Israel wawachekee tu?
Israel huwa anatoa taarifa raia waondoke maana kipondo kinakuja
je migaidi ya hamas ilitoa taarifa iliposhambulia Israel?
 
Ndio maana nimetoa mfano huo ili upate kuelewa.

Kuna sheria za vita, mojawapo raia hawaruhusiwi kuuwawa kwa namna yeyote ile. Ni sawa na mfano niliokupa, sorry kama umejisikia vibaya lakini nilitaka uone ukatili unaofanywa
 
Tatizo lako uko fully biased nimekuuliza maswali hapo hujibu!
Hamas kwa ugaid anaoendelea kuufanya/alioufanya hajahalifu sheria za kivita?
je hamas hawajaua/hawaui raia wema? kavamia watu wapo music festival na wengine kwenye siku yao ya ibada/sikukuu ya kidini tena kavunja mpaka na kuingia kwenye territory nyingine je kwa sheria za kimataifa hii ni sawa?.

Kuna vita gani ambayo ilipiganwa tena kwa muda mrefu na hakukuwa na raia waliouwawa? usiongelee nadharia.

Wanaouwawa na hamas na kubakwa kwako ni sawa na hapo hakuna uhalifu wa kivita? huna uchungu na hao? au ndo mkuki kwa nguruwe?

Anyway kuna upande unaoutetea/na pengine kuna imani/mungu unamtetea.
 
Achana na uwongo magazeti ya Israel wamesema Hamasi wala hawakwenda kwenye Music Festival ni jeshi la Israel ndio limewauwa

Hamasi waende fanya nini kwenye music festival?

Wao target zao ilikuwa ni camp za jesi na Archived za Mossad

Tv na Magazeti ya Israel wamekiri pia na jeshi la Israel wao ndio waliwauwa wananchi zao tarehe 7th October, na hakuna hata mtoto aliye chinjwa na ahamasi huo ulikuwa uwongo wa Netanyahu ili apate support kutoka America na West 😄
 
Hewallah🤣😂😆 wewe wasema 👀👀 😂😆🤣
 
Tatizo lako uko fully biased nimekuuliza maswali hapo hujibu!
Hamas kwa ugaid anaoendelea kuufanya/alioufanya hajahalifu sheria za kivita?
je hamas hawajaua/hawaui raia wema? kavamia watu wapo music festival na wengine kwenye siku yao ya ibada/sikukuu ya kidini tena kavunja mpaka na kuingia kwenye territory nyingine je kwa sheria za kimataifa hii ni sawa?.

Kuna vita gani ambayo ilipiganwa tena kwa muda mrefu na hakukuwa na raia waliouwawa? usiongelee nadharia.

Wanaouwawa na hamas na kubakwa kwako ni sawa na hapo hakuna uhalifu wa kivita? huna uchungu na hao? au ndo mkuki kwa nguruwe?

Anyway kuna upande unaoutetea/na pengine kuna imani/mungu unamtetea.
Swali lako jibu ni rahisi ambapo nimekupa mfano mbaya lakini bado huelewi. Jibu rahisi " ugaidi haulipwi kwa kifanya ugaidi"
 
Back
Top Bottom