Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Waukrain wa yombo nao kikaangoni🚶
Ngoja tuwatwange kwanza 'nondo za kichwa' waUkraine wa 'Usoke' na waMarekani wa 'Segera' kwa kutumia source yao pendwa "U.S. News" 🤣🤣😂😂
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....
Shikamoo Russia!
Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO
View attachment 2239244
FAKE news!!!Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....
Shikamoo Russia!
Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO
View attachment 2239244
Wale wapuuzi wana povu la kufulia turubai lililochafuka kwa oil chafuMkuu wakikugei povu usinisahau na Mimi maana nina nguo chafu hapa
Unateseka nini mkuu?!Sijui hata unafaidikaje na uongo huu? Inakupaje burudani ya moyo hali hii? Danganya wahuni wenzio huko vijiweni wasiojua Kiingereza. Ukweli ni huu kwa wasiojua Kiingereza:
Marekani hairipoti chochote kuhusu hii propaganda. Hapa ni shirika la habari la Uingereza (Reuters) likinukuu maneno ya Shirika la habari la Russia (linaitwa TASS) ambalo pia limenukuu maneno ya waasi wa Donbas wanaosapotiwa na Russia.
Moderator - Kwa nini mnaruhusu uhuni katika jukwaa hili? Inashusha heshima ya JF.
View attachment 2239292
Si anawachapa pale pale Ukraine ndugu au huoni wanavyopigikaWanakusanya hasira tuu na sababu lukuki za kinafiki na uchonganishi Kwa washirika wake ili iwe rahisi kuingia mzigoni baba wa Dunia, ukiona hivyo ujue siku zinahesabika na ukingoni paleeee...!!
Mrusi hatoboi ng'o
Mpaka sasa atakuwa kaathirika vibaya na kachoka mno!
Angelikuwa na nguvu, tayari angelikuwa keshawachapa wote aliokuwa akidai wakiingilia tu vita atawafurusha!!
Unateseka nini mkuu?!
Acha uzushi na upotoshaji...taarifa hiyo imeripotiwa na Marekani, US. News, na nimeweka screenshots pamoja na link halafu unakuja unalialia hapa...
Moderator wa JF naomba mtulize huyu kijana Omusolopogasi kapaniki hapa, anakosa uvumilivu....
Na naweka tena screenshot kamili pamoja na link ya habari hiyo toka U.S. News (chombo cha habari cha Marekani)
View attachment 2239317
Inashangaza hii habari ya ushoga inaenea sana hasa madrasa kule arusha Ostadh anajisevia watoto 22 kama wake zake.Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....
Shikamoo Russia!
Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO
View attachment 2239244
Ninasikitika Mabeberu lazima wazae na Putin.Wanakusanya hasira tuu na sababu lukuki za kinafiki na uchonganishi Kwa washirika wake ili iwe rahisi kuingia mzigoni baba wa Dunia, ukiona hivyo ujue siku zinahesabika na ukingoni paleeee...!!
Mrusi hatoboi ng'o
Mpaka sasa atakuwa kaathirika vibaya na kachoka mno!
Angelikuwa na nguvu, tayari angelikuwa keshawachapa wote aliokuwa akidai wakiingilia tu vita atawafurusha!!
@Moderator wamebaki kupiga ban na sio kufuta nyuzi za uzushiSijui hata unafaidikaje na uongo huu? Inakupaje burudani ya moyo hali hii? Danganya wahuni wenzio huko vijiweni wasiojua Kiingereza. Ukweli ni huu kwa wasiojua Kiingereza:
Marekani hairipoti chochote kuhusu hii propaganda. Hapa ni shirika la habari la Uingereza (Reuters) likinukuu maneno ya Shirika la habari la Russia (linaitwa TASS) ambalo pia limenukuu maneno ya waasi wa Donbas wanaosapotiwa na Russia.
Moderator - Kwa nini mnaruhusu uhuni katika jukwaa hili? Inashusha heshima ya JF.
View attachment 2239292
Na bado, mwaka huu utateseka sana kwa ukilaza wako..."World report and US News" maana yake ni "Ripoti toka duniani na Habari kutoka ndani ya Marekani". Hakuna habari iliyotolewa na nchi ya Marekani katika kinachosemwa hapa na huyu muongo (propagandist). Huu ni upotoshaji wa makusudi kabisa Moderator. Sikirimimimasikini - moderator ana akili. Danganya hao wa kijiweni kwako.
We kilaza ficha 'upumbavu' wakoInashangaza hii habari ya ushoga inaenea sana hasa madrasa kule arusha Ostadh anajisevia watoto 22 kama wake zake.
Na jana Kinondoni Ostadh naye anakula watoto wa watu.
Mnaimba ushoga wakati humo kwenye kujifunza dini yenu mnafundisha watoto ushoga.