Marekani yaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8000 wa Ukraine wamekamatwa mateka na kushikiliwa na majeshi ya Urusi

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.

Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....

Shikamoo Russia!

Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO

SmartSelect_20220526-125730_Chrome.jpg
 
Wanakusanya hasira tuu na sababu lukuki za kinafiki na uchonganishi Kwa washirika wake ili iwe rahisi kuingia mzigoni baba wa Dunia, ukiona hivyo ujue siku zinahesabika na ukingoni paleeee...!!

Mrusi hatoboi ng'o

Mpaka sasa atakuwa kaathirika vibaya na kachoka mno!

Angelikuwa na nguvu, tayari angelikuwa keshawachapa wote aliokuwa akidai wakiingilia tu vita atawafurusha!!
 
Sijui hata unafaidikaje na uongo huu? Inakupaje burudani ya moyo hali hii? Danganya wahuni wenzio huko vijiweni wasiojua Kiingereza. Ukweli ni huu kwa wasiojua Kiingereza:

Marekani hairipoti chochote kuhusu hii propaganda. Hapa ni shirika la habari la Uingereza (Reuters) likinukuu maneno ya Shirika la habari la Russia (linaitwa TASS) ambalo pia limenukuu maneno ya waasi wa Donbas wanaosapotiwa na Russia.

Moderator - Kwa nini mnaruhusu uhuni katika jukwaa hili? Inashusha heshima ya JF.

1653562118438.png

Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.

Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....

Shikamoo Russia!

Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO

View attachment 2239244
 
Attachments

  • 1653561510217.png
    1653561510217.png
    91.7 KB · Views: 24
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.

Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....

Shikamoo Russia!

Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO

View attachment 2239244
FAKE news!!!
Team Putin wapo bize kuokoteza vitaarifa vya UONGO na kuja kushadadia humu!
 
Sijui hata unafaidikaje na uongo huu? Inakupaje burudani ya moyo hali hii? Danganya wahuni wenzio huko vijiweni wasiojua Kiingereza. Ukweli ni huu kwa wasiojua Kiingereza:

Marekani hairipoti chochote kuhusu hii propaganda. Hapa ni shirika la habari la Uingereza (Reuters) likinukuu maneno ya Shirika la habari la Russia (linaitwa TASS) ambalo pia limenukuu maneno ya waasi wa Donbas wanaosapotiwa na Russia.

Moderator - Kwa nini mnaruhusu uhuni katika jukwaa hili? Inashusha heshima ya JF.

View attachment 2239292
Unateseka nini mkuu?!

Acha uzushi na upotoshaji...taarifa hiyo imeripotiwa na Marekani, US. News, na nimeweka screenshots pamoja na link halafu unakuja unalialia hapa...

Moderator wa JF naomba mtulize huyu kijana Omusolopogasi kapaniki hapa, anakosa uvumilivu....

Na naweka tena screenshot kamili pamoja na link ya habari hiyo toka U.S. News (chombo cha habari cha Marekani)
Screenshot_20220526-140753_Chrome.jpg
 
Wanakusanya hasira tuu na sababu lukuki za kinafiki na uchonganishi Kwa washirika wake ili iwe rahisi kuingia mzigoni baba wa Dunia, ukiona hivyo ujue siku zinahesabika na ukingoni paleeee...!!

Mrusi hatoboi ng'o

Mpaka sasa atakuwa kaathirika vibaya na kachoka mno!

Angelikuwa na nguvu, tayari angelikuwa keshawachapa wote aliokuwa akidai wakiingilia tu vita atawafurusha!!
Si anawachapa pale pale Ukraine ndugu au huoni wanavyopigika
 
"World report and US News" maana yake ni "Ripoti toka duniani na Habari kutoka ndani ya Marekani". Hakuna habari iliyotolewa na nchi ya Marekani katika kinachosemwa hapa na huyu muongo (propagandist). Huu ni upotoshaji wa makusudi kabisa Moderator. Sikirimimimasikini - moderator ana akili. Danganya hao wa kijiweni kwako.
Unateseka nini mkuu?!

Acha uzushi na upotoshaji...taarifa hiyo imeripotiwa na Marekani, US. News, na nimeweka screenshots pamoja na link halafu unakuja unalialia hapa...

Moderator wa JF naomba mtulize huyu kijana Omusolopogasi kapaniki hapa, anakosa uvumilivu....

Na naweka tena screenshot kamili pamoja na link ya habari hiyo toka U.S. News (chombo cha habari cha Marekani)
View attachment 2239317
 
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.

Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....

Shikamoo Russia!

Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO

View attachment 2239244
Inashangaza hii habari ya ushoga inaenea sana hasa madrasa kule arusha Ostadh anajisevia watoto 22 kama wake zake.
Na jana Kinondoni Ostadh naye anakula watoto wa watu.
Mnaimba ushoga wakati humo kwenye kujifunza dini yenu mnafundisha watoto ushoga.
 
Wanakusanya hasira tuu na sababu lukuki za kinafiki na uchonganishi Kwa washirika wake ili iwe rahisi kuingia mzigoni baba wa Dunia, ukiona hivyo ujue siku zinahesabika na ukingoni paleeee...!!

Mrusi hatoboi ng'o

Mpaka sasa atakuwa kaathirika vibaya na kachoka mno!

Angelikuwa na nguvu, tayari angelikuwa keshawachapa wote aliokuwa akidai wakiingilia tu vita atawafurusha!!
Ninasikitika Mabeberu lazima wazae na Putin.
Huu ndio mwisho wa enzi.
Hajawahi kutokea kiongozi yoyote akaitesa dunia na akawa na mwisho salama.

Sijui kama Putin anaukaribia ukatili wa Hitler.
 
Sijui hata unafaidikaje na uongo huu? Inakupaje burudani ya moyo hali hii? Danganya wahuni wenzio huko vijiweni wasiojua Kiingereza. Ukweli ni huu kwa wasiojua Kiingereza:

Marekani hairipoti chochote kuhusu hii propaganda. Hapa ni shirika la habari la Uingereza (Reuters) likinukuu maneno ya Shirika la habari la Russia (linaitwa TASS) ambalo pia limenukuu maneno ya waasi wa Donbas wanaosapotiwa na Russia.

Moderator - Kwa nini mnaruhusu uhuni katika jukwaa hili? Inashusha heshima ya JF.

View attachment 2239292
@Moderator wamebaki kupiga ban na sio kufuta nyuzi za uzushi
Moderator
 
"World report and US News" maana yake ni "Ripoti toka duniani na Habari kutoka ndani ya Marekani". Hakuna habari iliyotolewa na nchi ya Marekani katika kinachosemwa hapa na huyu muongo (propagandist). Huu ni upotoshaji wa makusudi kabisa Moderator. Sikirimimimasikini - moderator ana akili. Danganya hao wa kijiweni kwako.
Na bado, mwaka huu utateseka sana kwa ukilaza wako...

Kwani umelazimishwa kusoma wewe mMarekani mmoja wa Nachingwea?! Watu wengine wapuuzi kweli kweli....

Screenshot_20220526-143710_Chrome.jpg
 
Inashangaza hii habari ya ushoga inaenea sana hasa madrasa kule arusha Ostadh anajisevia watoto 22 kama wake zake.
Na jana Kinondoni Ostadh naye anakula watoto wa watu.
Mnaimba ushoga wakati humo kwenye kujifunza dini yenu mnafundisha watoto ushoga.
We kilaza ficha 'upumbavu' wako
 
Back
Top Bottom