Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....
Shikamoo Russia!
Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO