Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Sisi ndio tunapenda mambo kama haya,mwambie Ayatollah apulize filimbi match ianze.US mwenyewe kambi zake ziliteremshiwa missiles na Iran na hakuna air defense iliweza zuia.
Kauli za US ni kujaribu kuwatisha Iran lakini kipigo kipo pale pale.
Aah wapiIsrael bila Marekani na mataifa kama Saudi Arabia na Jordan, angekuwa ameshafutika katika ramani ya. Dunia.
Punguza mahaba mkuu.Usemi tu wa watu wavivu wa kufikiri
Kwa tarifa yako, Dunia bila Jews, hakuna taifa lenye nguvu kijeshi
Anajipendekeza tuSasa USA anafanya yote hayo kwa sababu gani ikiwa mshirika wake ana nguvu ya kujilinda dhidi ya waajemi? Unafahamu hata kwenye top 10 ya mataifa yenye nguvu haipo?
Nguvu ya mtu ni pamoja na ushawishi alionao, watu hawafanyi vita kwa sifa ila maslahi ndo maana Marekani na uwezo wake wote lakini hata kuipiga Libya alikusanya washirika wake. Hata Iran ingefurahi kama hayo mataifa mengine yangekuwa upande wake.Israel bila Marekani na mataifa kama Saudi Arabia na Jordan, angekuwa ameshafutika katika ramani ya. Dunia.
Nani anauhakika kwamba ni inchi Yao ahadi Kama sio porojo zao,Ardhi yao ipo pale kwenye nchi ya ahadi ndio maana wako tayari kuipigania mpaka tone la mwisho.
Ndivyo unavyojidanganya!?Usemi tu wa watu wavivu wa kufikiri
Kwa tarifa yako, Dunia bila Jews, hakuna taifa lenye nguvu kijeshi
Kafuatilie ujue Israel inapokea bilioni ngapi ya dola kiulinzi na kiuchumi.Aah wapi
Hizi story tu