Marekani yasogeza meli za kivita na kuziweka mkao wa tayari kuichakaza Iran

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano.....

The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend.

The moves by the U.S. that are part of an effort to avoid a wider conflict in the Middle East came after a warning from a person familiar with the matter about the timing and location of the potential Iranian attack. A person briefed by the Iranian leadership, however, said that while plans to attack are being discussed, no final decision has been made.
 
Yemen ni failed state

Nchi ina serikali zaidi ya moja

Hata wewe ukienda ukiamua kuanzisha kikundi cha kigaidi km unapesa utaanzisha tu

Magaidi ni mijitu ya kujitoa muhanga na kuvizia

Utapigana na adui asiyeonekana? Au unataka USA ianze kupiga yanakojificha magaidi yakiwa katikati ya raia wema?
America ni kelele tu kule Yemen si alijidai kuivamia Yemen kakimbia mwenyewe [emoji38]
 
Kwani hao mabikira 72 HUWA wanapatilanaje?

Maana hapa HUWA wanakufa WAKIWA wamechakazwa mbele na nyuma Sasa hao mabikira NDO hawa hawa wakifa na majuba Yao wakifika huko wote wanakuwa tena mabikira????
Mafundisho ya kujidanganya aliyeyaanzisha kafa kawaachia Waumini wake sintofahamu kubwa na wao hawataki kufanyia marekebisho.
 
Sio
Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano.....

The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend.

The moves by the U.S. that are part of an effort to avoid a wider conflict in the Middle East came after a warning from a person familiar with the matter about the timing and location of the potential Iranian attack. A person briefed by the Iranian leadership, however, said that while plans to attack are being discussed, no final decision has been made.
Sio tena Isreal. Imeeingia Marekani na NATO?
 
SHIRIKA LA NDEGE LA AUSTRALIA LABIDILISHA NJIA YA MRUKO WA NDEGE KUELEKEA ULAYA

SYDNEY, Aprili 13 (Reuters) - Shirika la ndege la Qantas Airways (QAN.AX) la Australia lilisema Jumamosi lilirekebisha kwa muda safari za ndege kati ya Perth na London kutokana na wasiwasi kuhusu Mashariki ya Kati hali ya usalama wa anga Mashariki ya Kati , huku taarifa za matarajio ya mapigano mapya yakiongezeka ya shambulio la Iran dhidi ya Israel.

"Tunarekebisha kwa mfano ruti / route na muda njia za ndege kwa safari zetu kati ya Perth na London kutokana na hali katika maeneo ya Mashariki ya Kati," msemaji wa Qantas alisema. "Tutawasiliana na wateja moja kwa moja ikiwa kutakuwa na mabadiliko yoyote kwenye tiketi booking zao."

Reuters

QANTAS REROUTE PERTH - EUROPE FLIGHT PARTH
1713020627407.png

SYDNEY, April 13 (Reuters) - Australia's Qantas Airways (QAN.AX) said on Saturday it had temporarily rerouted flights between Perth and London on concerns about the Middle East, as expectations rose of an attack by Iran on Israel.

"We’re temporarily adjusting the flight paths for our flights between Perth and London due to the situation in parts of the Middle East," a Qantas spokesperson said. "We’ll reach out to customers directly if there’s any change to their booking."
Reuters
 
Ili kufupisha Vita na kufungua njia za Bahari Freedom of Navigation na Israel akimalizana na Hamas anaingia Lebanon kuwasafisha Magaidi wa Hezbola mambo yanakuwa safi.

Wakimaliza huko tutawaomba waje jf ili wadili na Maayatolah wa humu jf.
Hahaha. Makafiri bana mwisho mtasema mtaenda Makka kuivunja Alkaaba. Hamwishi vituko.
 
Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano.....

The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend.

The moves by the U.S. that are part of an effort to avoid a wider conflict in the Middle East came after a warning from a person familiar with the matter about the timing and location of the potential Iranian attack. A person briefed by the Iranian leadership, however, said that while plans to attack are being discussed, no final decision has been made.
Anailinda Israel
 
Toka juzi baadhi ya meli na manowari zimerudi kutoka Yemen na kuingia karibu na mpaka wa Israel ili kulinda anga lote la Israel.
Acha tusubiri tuone itakuaje
 
Hahaha. Makafiri bana mwisho mtasema mtaenda Makka kuivunja Alkaaba. Hamwishi vituko.
Originally Kaba ilikuwa ni ya Makafiri mkawazulumu, Jerusalemu ilikuwa ni ya Wayahudi mkataka kuwazulumu, Andalusia Spain ilikuwa ya Wakatoliki mkataka kuwazulumu.

Sasa ni wakati wa Pay back msilielie.
 
Kwa kuzalisha magaidi ya uislamu dunia hii, Iran imekua kero hata kuzidi waarabu wenye dini yao.
Kwani Iran imeanza kuzalisha magaidi ya kiislam tokea lini?
Na ni Nini kilichopelekea Hadi ikanasa kwenye ndoano ya Marekani?
Ni kitu Gani kimeisababisha inase Sasa hivi na sio toka huko nyuma?
 
Acha u
Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano.....

The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend.

The moves by the U.S. that are part of an effort to avoid a wider conflict in the Middle East came after a warning from a person familiar with the matter about the timing and location of the potential Iranian attack. A person briefed by the Iranian leadership, however, said that while plans to attack are being discussed, no final decision has been made.
Izo boti za wanamgambo wa Marekani zipo wapi mbona Iran ameteka meli ya mizigo ya Israel Leo na wanaenda kushusha contena zote zipelekwe Syria tayari kwa matumizi🤣🤣🤣
 
Attachments

  • IMG_20240413_190253.jpg
    IMG_20240413_190253.jpg
    21.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom