Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Mkiendelea na vurugu zenu za kifala huyo siku haipo mbali sana 🤣Hahaha. Makafiri bana mwisho mtasema mtaenda Makka kuivunja Alkaaba. Hamwishi vituko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiendelea na vurugu zenu za kifala huyo siku haipo mbali sana 🤣Hahaha. Makafiri bana mwisho mtasema mtaenda Makka kuivunja Alkaaba. Hamwishi vituko.
Iran ndo mfadhili mkuu wa magaidi Duniani,ikiwemo HAMAS na HezbollahMarekani inaitafuta Iran kutaka kuipiga kwa kosa gani?
Naomba unieleweshe hapa
Mpango Mkakati wa Marekani kuishambulia kivita ulitengenezwa na kukamilika tangu mwaka 1980 mara baada ya Utawala wa Kiislamu ukiongozwa na Hayatollah Ruhollah Imam Khamenei kuundoa Utawala wa wa Reza Shah Pahlavi.Marekani inaitafuta Iran kutaka kuipiga kwa kosa gani?
Naomba unieleweshe hapa
John Bolton ambaye pia aliwahi kuwa balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa asisisitiza majibu yasiwe pigo pigo bali pigo kwa pigo kali la kumliza Iran aache mchezo huu..