Marekani yatangaza kuanza majadiliano na Congo kuhusu mpango wa uchimbaji madini ili kubadilishana na ulinzi.

Tshekedi ameona awakomeshe watutsi wasiopendwa na wakongo. Hapo Congo icheze vizuri kwenye mikataba tu na wakaze hapo hapo kuwa wanyamurenge warudishwe kwao Rwanda.
 
yaani watu wanauana unataka waombe msaada wa kilimo hicho kilimo unalimaje huku mnapgwa mabomu first priority ni amani ikishapatikana watalima
 
Ni ngumu kuendesha kilimo kwenye vita. Huu mpango ni mzuri, Marekani anachukua madini huku akilipa kodi hata kidogo pamoja na ulinzi, halafiu Wakongoman wanajikita kwenye kilimo na ufugaji, maisha yanaenda
 
Marekani hawakawii kusema Rwanda ndio mwakilishi wao ktk hayo makubaliano,trump chizi huyo
 
Marekani hawakawii kusema Rwanda ndio mwakilishi wao ktk hayo makubaliano,trump chizi huyo
Hawawezi kumuogopa Rwanda kiasi hicho ikiwa huwa wanamtikisa hadi Israel, na Ukrain katikiswa haswa!
 
Nasikia huko ndizi moja ya mzuzu dollar 3... ukifikisha canter la ndizi congo we tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…