Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

Bashite kazuiwa kwa sababu ya kupiga kelele kuhusu ushoga, mm sio shabiki wake lakini ukweli mkubwa ndio huo, sio kila anaezuiliwa kuingia us ni muovu, mara nyingi marekani anaangalia maslah yake
Kwa hiyo bashite sio muovu? Bashite kazuiwa sababu ya kuzurumu watu haki ya kuishi mataga ndo mkaja na gia ya ushoga ili kumtetea.
Ha ha ha ha, hi vita ni kubwa.
 
Sexer heshima kwako, ila mkuu hujatafsiri neno GAIDI ulichofanya wewe ndugu yangu ni neno la kiswahili ukalipeleka kwenye kiingereza.

Naomba tafsiri ya neno GAIDI kwa kiswahili tena kwa ujazo wake.
 
Hahaha Marekani ameanza lini ushosti na Waislamu?
Nimeshindwa hadi kushangaa, nafikiri kuna kitu kipo jikoni, chuki inatengenezwa kumgombanisha mchina na Uislam duniani maana yeye kama yeye Mmarekani kashamshindwa Mchina, tusubiri tuone.
 
Sexer heshima kwako, ila mkuu hujatafsiri neno GAIDI ulichofanya wewe ndugu yangu ni neno la kiswahili ukalipeleka kwenye kiingereza.

Naomba tafsiri ya neno GAIDI kwa kiswahili tena kwa ujazo wake.
Tafsiri=translation, uliomba tafsiri (translation) ya Gaidi nami nikakupa tafsiri (translation) yake.
Na pia mara ya pili nimekutafria kwa kizulu.
 
Back
Top Bottom