Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
'Tafsiri' unajua maana ya hilo neno?Hawez kukujibu huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Tafsiri' unajua maana ya hilo neno?Hawez kukujibu huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan bashite ni Muislam?'US kaenda vitani kwa sababu ya uchumi' bado haiondoshi ukweli kuwa ndio nchi inayoongoza kuwauwa na kuwatesa Waislam, pia kuwachukia Waislam duniani, ndio nchi pekeake duniani ilioburn Waislam kuingia nchini mwao, under DT, na ndio nchi pekee inayozibomoa kwa mabomu nchi za Waislam
Neno gani ?!'Tafsiri' unajua maana ya hilo neno?
TafsiriNeno gani ?!
Sent using My COVID-19
Kwan bashite ni Muislam?
No talks bro..Kujifia kivipi MKUU ?!
Apaze sauti wakati nayeye ndio wale wale mbna hajawapazia sauti waislam wa Ukanda wa Ghaza ?!Sasa huoni jinsi US walivyopaza sauti ama chuki imekupofusha macho
Mimi sijataka tafsiri MKUU aliotaka mwengine mimi najua nikitaka huwez ukanipa zaidi yakuruka ruka tu huku na kule kama unaweza nambie ugaidi ninini na gaidi ninani niyupi ?!Tafsiri
Simu zipi hizo zinazoongoza kwenye hayo mauzo yao?...Yaani nyinyi wakuu mnakwama wapi, HIO ILIKUA TAREHE 13 YA JUZI [emoji16]
Huawei posts 13.1% sales rise in 1st half of 2020
Chinese telecom giant Huawei on Monday reported a first-half revenue rise of 13.1% year-on-year as it appeared to emerge from a sales slump seen at the start of the year.
Also reporting a net profit margin of 9.2%, Huawei said communications technologies were both a tool for combatting the coronavirus and an engine for economic recovery.
Huawei is the world's top supplier of telecom networking equipment and No. 2 smartphone maker behind Samsung.
The 454 billion yuan ($64.9 billion) first-half revenue figure points to a sharp uptick in sales for the second quarter, after first-quarter revenue came in at just 182.2 billion yuan, a mere 1.4% increase year-on-year.
Analysts blamed the downturn in the three months to end-March on the coronavirus and international efforts to contain the company's involvement in foreign telecom networks.
The pandemic emerged in China in December before spreading globally.
The second-quarter net profit margin also marked an improvement over the first, when it had been 7.3%.
Washington has lobbied allies to shun Huawei over suspicions that its telecoms gear could contain security loopholes that allow China to spy on global communications traffic
Unaweza ukaleta takwimu kutetea hoja yako hii MKUU namimi nilete takwimu kutetea hoja yangu ?!No talks bro..
Huawei walikuwa ni moja ya kampuni ya simu iliyokuwa inauza sana ila baada ya ban ya U.S hakuna simu iliyotoka na kukimbiza kama kina Mate 30 pro..huko ndo mwanzo wa kujifia niliouzungumzia
Bashite naye kapigwa pini kwenda US, ndo ujue yoyote yule muovu anazuiwa bila kujali dini yake.Siasa ya home acha mkuu
Halaf unambie unataka data kutoka kwenye source ipi nakama hio unayotaka utakua tayar tuilete kuanzia miaka mitatu nyuma mpaka sasa......Simu zipi hizo zinazoongoza kwenye hayo mauzo yao?...
Source ya hii Data ni ipi mkuu??..Maana wachina kila mtu anawajua
Sasa mbona nimemjibu jamaa tafsiri ya gaidi jamaa akapinga na wewe ukamuunga mkono. Ina maana kile nilichojibu sio tafsiri ya gaidi?Mimi sijataka tafsiri MKUU aliotaka mwengine mimi najua nikitaka huwez ukanipa zaidi yakuruka ruka tu huku na kule kama unaweza nambie ugaidi ninini na gaidi ninani niyupi ?!
Bashite naye kapigwa pini kwenda US, ndo ujue yoyote yule muovu anazuiwa bila kujali dini yake.
Kwa hiyo bashite sio muovu? Bashite kazuiwa sababu ya kuzurumu watu haki ya kuishi mataga ndo mkaja na gia ya ushoga ili kumtetea.Bashite kazuiwa kwa sababu ya kupiga kelele kuhusu ushoga, mm sio shabiki wake lakini ukweli mkubwa ndio huo, sio kila anaezuiliwa kuingia us ni muovu, mara nyingi marekani anaangalia maslah yake
Kwa hiyo bashite sio muovu? Bashite kazuiwa sababu ya kuzurumu watu haki ya kuishi mataga ndo mkaja na gia ya ushoga ili kumtetea.
Ndo Pompeo alitoa sababu hiyo?! Au unaleta hapa sababu za mataga!Nafkiri kuna day aliongea kutoruhusu ushoga na kuwatisha mashoga, hapo ubalozi wa marekani ukazipata hizo taarifa baada ya watu wengi kwenda kuomba viza za ukimbizi ktk ubalozi huo ili wakaishi marekani
Tanzania unaichukuliaje mzee?Nyie tanzania si mtoe tamko si ninasikia Tanzania Ni Donor Country
Huyo mchina alishawahi kupaza sauti kuhusu gazaApaze sauti wakati nayeye ndio wale wale mbna hajawapazia sauti waislam wa Ukanda wa Ghaza ?!
Nnnnnhh! kwa hiyo Marekani ni paradiso ya Mashoga?Nafkiri kuna day aliongea kutoruhusu ushoga na kuwatisha mashoga, hapo ubalozi wa marekani ukazipata hizo taarifa baada ya watu wengi kwenda kuomba viza za ukimbizi ktk ubalozi huo ili wakaishi marekani