Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mtetezi wakweli wanini ?!Bwana Utam, STRUGGLE MAN mmeona mambo hayo? Mmeona mtetezi wa kweli wa wanaoonewa? Hiyo ndio Marekani baba wa demokrasia na haki duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtetezi wakweli wanini ?!Bwana Utam, STRUGGLE MAN mmeona mambo hayo? Mmeona mtetezi wa kweli wa wanaoonewa? Hiyo ndio Marekani baba wa demokrasia na haki duniani.
Mimi sina shida na China kupaa kiuchumi coz wote ni mabepari,shida ni double standard kwa sababu mchina sio mtakatifu. USA umeenda vitani Libya,Iraq kwa sababu za kiuchumi wakati China inachofanya kule xijiang ni social cleansing. Wanatumia nguvu za serikali kufuta dini na utamaduni wa watu na waislam wako kimya dunia nzima,anae wasemea ni mzungu ambae sio muislam.
Atajibu tu anamalizia kazi?Akikujibu Unitag.....
Sio kwamba nasema unaunga MKONO hapana MKUU ila nlitaka tu unambie kuhusiana na suala lile je US walitoa rection gani tukiachana nahao wanafiq wakiarabu na kiislam uliowataja hapo US alisemaje kuhusu hilo ?!Nalo pia sio sawa hata kidogo na siungi mkona vitendo ambavyo muisrael anamfanyia mpalestina kwani ni apartheid kwa sapoti ya marekani. Pia sioni action ya pamoja ya nchi za kiislam hata kupaza sauti tu!!! Angalau Iran na Qatar wanasaidia kidogo.
Sasa Huawei na waislam wapi na wapi??.
Ukweli mchungu kama huu hawatakaa waukubali ijapokua wanauelewa.'US kaenda vitani kwa sababu ya uchumi' bado haiondoshi ukweli kuwa ndio nchi inayoongoza kuwauwa na kuwatesa Waislam, pia kuwachukia Waislam duniani, ndio nchi pekeake duniani ilioburn Waislam kuingia nchini mwao, under DT.
Mkuu chukua form ya kugombea uchaguzi mkuu, Naja kuilipia...Marekani ndie mtetezi mkuu wa uislamu Duniani na Waislamu.
Waislamu wengi hutamani kwenda Marekani wakapate uhuru wa kuabudu vizuri, hawatamani kwenda Saudi wala Yemen bali Marekani.
Marekani amekua akitetea waislamu wasali na kufanya ibada zao kwa amani.
Marekani amekua akishughulika na magenge ya wahuni ndani ya uislamu, yanayotumia uislamu kufanya uhalifu dhidi ya binadamu wenzao kwa kigezo cha Uislamu.
Waislamu wengi mashariki ya kati hutamani kukimbilia ulaya na marekani wakawe huru kufanya ibada zao badala ya huko salipo chini ya vikundi na magenge ya wahuni wanaotumia uislamu kuwaua, kuwakandamiza na kuwanyima uhuru.
Unafikiri Marekani akiamua kukaa kimia si vikundi vya wahuni vitaua waislamu na kuwamaliza huko mashariki ya kati. Angalia ISIS, Taleban, Hezbollah, sijui vikundi gani vinavyoua watu sasa, fikiri waachwe huru waue watu wanavyojisikia kwa uhuru kwa jina la uislamu, kuna mtu atabaki?
aaah subutuuuu ila usisahau kunitag.Atajibu tu anamalizia kazi?
Funga bakuli lako, usiongee ugoroMarekani ndie mtetezi mkuu wa uislamu Duniani na Waislamu.
Waislamu wengi hutamani kwenda Marekani wakapate uhuru wa kuabudu vizuri, hawatamani kwenda Saudi wala Yemen bali Marekani.
Marekani amekua akitetea waislamu wasali na kufanya ibada zao kwa amani.
Marekani amekua akishughulika na magenge ya wahuni ndani ya uislamu, yanayotumia uislamu kufanya uhalifu dhidi ya binadamu wenzao kwa kigezo cha Uislamu.
Waislamu wengi mashariki ya kati hutamani kukimbilia ulaya na marekani wakawe huru kufanya ibada zao badala ya huko salipo chini ya vikundi na magenge ya wahuni wanaotumia uislamu kuwaua, kuwakandamiza na kuwanyima uhuru.
Unafikiri Marekani akiamua kukaa kimia si vikundi vya wahuni vitaua waislamu na kuwamaliza huko mashariki ya kati. Angalia ISIS, Taleban, Hezbollah, sijui vikundi gani vinavyoua watu sasa, fikiri waachwe huru waue watu wanavyojisikia kwa uhuru kwa jina la uislamu, kuna mtu atabaki?
Mbna kama hujaeleweka MKUU hem nyoosha maelezo kidogo.....Waziri Pompeo ndio kawaunganisha HUAWEI na Uislamu.
Kasema anawaunga mkono UK kuifukuza HUAWEI kwa sababu HUAWEI inatumiwa na the Chinese Communist Party state kuwafuatilia, kuwa spy, kuwadukua na kuwakandamiza Waislamu wa UWIGA jimboni Xinjiang.
CHINA yenyewe inasema inawadhibiti wasilete Ugaidi China.
Waziri Pompeo ndio kawaunganisha HUAWEI na Uislamu.
Kasema anawaunga mkono UK kuifukuza HUAWEI kwa sababu HUAWEI inatumiwa na the Chinese Communist Party state kuwafuatilia, kuwa spy, kuwadukua na kuwakandamiza Waislamu wa UWIGA jimboni Xinjiang.
CHINA yenyewe inasema inawadhibiti wasilete Ugaidi China.
Huyu jamaa angu namfahamu tunaendesha nae bodaboda, kapeleka abiria chapu haraka akirudi tu atajibu.aaah subutuuuu ila usisahau kunitag.
Kubwa atakuuliza nawewe swali tu sio kukujibu.
hahah sawa MKUU ila umakini unahitajika sana asee huko kibaruani maana changamoto nyingi sana kwajamaa zetu hawa.....Huyu jamaa angu namfahamu tunaendesha nae bodaboda, kapeleka abiria chapu haraka akirudi tu atajibu.
[emoji23] [emoji23]Huyu jamaa angu namfahamu tunaendesha nae bodaboda, kapeleka abiria chapu haraka akirudi tu atajibu.
Naam hakika MKUU ila kadri siku zinavyoenda mambo yanabadilika nawatu wanaanza kuzijua sura zao halisi.....Marekani wana ujuzi sana wa kucheza na akili za watu na zikachezeka na wachezewa akili wakachizika.
Terrorist, haya mtag huyo jamaa yakoGaidi kwa tafsiri rasmi ni nani?
Amini, ndio ajira yangu. Asharudi nipo nae hapa.hahah sawa MKUU ila umakini unahitajika sana asee huko kibaruani maana changamoto nyingi sana kwajamaa zetu hawa.....
Hata kama pengine huendeshi kweli boda boda ila maneno yangu muhimu sana kwawatu hawa kama watayaona
Dah nashukuru mkuu, ila hiyo sio tafsiri.Terrorist, haya mtag huyo jamaa yako