STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu humu kuna vituko kuliko fbSasa Huawei na waislam wapi na wapi??.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu humu kuna vituko kuliko fbSasa Huawei na waislam wapi na wapi??.
Waislam gan hao walioshushiwa kichapo na US libya?! Au unazungumzia dikteta Ghadafi aliyeuwawa na walibya wenzake?!Wale waislam aliowashushia kichapo kule Libya ilikuwa vipi mkuu !??
Halafu shia ni dhehebu sio dini ... Shia ni dhehebu la waislam lililo asisiwa nchini Iran
So kama hapatani na shia still hapatani na waislam
Kwahiyo Libya alikufa Gaddafi peke yakeWaislam gan hao walioshushiwa kichapo na US libya?! Au unazungumzia dikteta Ghadafi aliyeuwawa na walibya wenzake?!
Mashia sio waislam ingawa hujipendekeza kwenye uislam ili kuuchafua uislam
Na vipi kuhusu wananchi ambao wamepoteza maisha kule Syria ??Waislam gan hao walioshushiwa kichapo na US libya?! Au unazungumzia dikteta Ghadafi aliyeuwawa na walibya wenzake?!
Mashia sio waislam ingawa hujipendekeza kwenye uislam ili kuuchafua uislam
US hajawahi kufanya operation ya kushambulia wananchi kule Syria, yeye hudeal na magaidi tu, tambua kwenye vita hawauwawi wapiganaji tu bali hata raia huuwawa. Hata vita vya Iran vs Iraq Kuna wananchi waliuwawaNa vipi kuhusu wananchi ambao wamepoteza maisha kule Syria ??
USA ni wanafiki tu na always yeye na washirika wenzake huwa wanazutumia hizi dini Christian and Muslim kama chambo wa kuwasaidia kufikia malengo ya kisiasa
Mchina amewaweka jela waislam zaidi ya milioni 1 kule xijiang province,wanawake wa kiislam wanalazimishwa uzazi wa mpango,wanafungwa vizazi,watoto hawaruhusiwi kifundishwa dini ya wazazi wao.
Waislam kimya,sio Saudia wala Indonesia au bongo ambako wamepaaza sauti kulaani hayo mambo. Marekani imepiga kelele mpaka wameweka vikwazo nje ya vile vya Huawei ,wakati zingechorwa katuni za mtume kwenye gazeti 1 huko USA basi uarabuni nzima mpaka tz ingeandamana.
US hajawahi kufanya operation ya kushambulia wananchi kule Syria, yeye hudeal na magaidi tu, tambua kwenye vita hawauwawi wapiganaji tu bali hata raia huuwawa. Hata vita vya Iran vs Iraq Kuna wananchi waliuwawa
Sikuzidi weweWw jamaa unavituko kuliko watu wote humu jf
Haki za binadamu kama Ushoga na kifo cha George Floyd.Yes wakomonisti lazima kutiwa adabu kwa kutoheshimu haki za binadamu na kushirikiana na vijiserikali vivunjifu yva haki za raia. Thank you president Trump.
Acha kuhamisha magoli basiii ..hapa hoja ni USA anadai kuwa ana mapenzi na waislamUS hajawahi kufanya operation ya kushambulia wananchi kule Syria, yeye hudeal na magaidi tu, tambua kwenye vita hawauwawi wapiganaji tu bali hata raia huuwawa. Hata vita vya Iran vs Iraq Kuna wananchi waliuwawa
Magaidi akina nani?US hajawahi kufanya operation ya kushambulia wananchi kule Syria, yeye hudeal na magaidi tu, tambua kwenye vita hawauwawi wapiganaji tu bali hata raia huuwawa. Hata vita vya Iran vs Iraq Kuna wananchi waliuwawa
Kukujibu hoja zako ndo unaita kuhamisha magoli?! Ebu onyesha wapi nimehamisha magoli.Acha kuhamisha magoli basiii ..hapa hoja ni USA anadai kuwa ana mapenzi na waislam
Mimi sina shida na China kupaa kiuchumi coz wote ni mabepari,shida ni double standard kwa sababu mchina sio mtakatifu. USA umeenda vitani Libya,Iraq kwa sababu za kiuchumi wakati China inachofanya kule xijiang ni social cleansing. Wanatumia nguvu za serikali kufuta dini na utamaduni wa watu na waislam wako kimya dunia nzima,anae wasemea ni mzungu ambae sio muislam.Unaongelea hii marekani iliokwenda kuuwa malaki ya Waislam Libya, Iraq, Afghan ama marekani ipi?? Ni kwamba mnajitoa ufaham, hamfaham au hamtaki kufaham kuwa Uchina inapaa kiuchumi na Marekani halitaki hilo litokee, na kilichobaki ni kuweweseka, VITA YA KIBIASHARA
Akina Abu Bakr Al-BaghdadiMagaidi akina nani?
Ukanda wa gaza pale palestina wapo jela toka mwaka 2007 au nahili hulijui !?Mchina amewaweka jela waislam zaidi ya milioni 1 kule xijiang province,wanawake wa kiislam wanalazimishwa uzazi wa mpango,wanafungwa vizazi,watoto hawaruhusiwi kifundishwa dini ya wazazi wao.
Waislam kimya,sio Saudia wala Indonesia au bongo ambako wamepaaza sauti kulaani hayo mambo. Marekani imepiga kelele mpaka wameweka vikwazo nje ya vile vya Huawei ,wakati zingechorwa katuni za mtume kwenye gazeti 1 huko USA basi uarabuni nzima mpaka tz ingeandamana.
Nalo pia sio sawa hata kidogo na siungi mkona vitendo ambavyo muisrael anamfanyia mpalestina kwani ni apartheid kwa sapoti ya marekani. Pia sioni action ya pamoja ya nchi za kiislam hata kupaza sauti tu!!! Angalau Iran na Qatar wanasaidia kidogo.Ukanda wa gaza pale palestina wapo jela toka mwaka 2007 au nahili hulijui !?
Ulimsikia US akisema nini ?!
Gaidi kwa tafsiri rasmi ni nani?Akina Abu Bakr Al-Baghdadi
Akikujibu Unitag.....Gaidi kwa tafsiri rasmi ni nani?