Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

waislam wanaoenda ulaya na marekani lengo ni kutafuta maisha mazuri,na marekani anang'ang'ania uarabuni sababu ya maslahi yake ya mafuta,mbona congo wanauana na haendi,
Mimi nafanya kazi Katika African Resettlement Agency na Raia/ wakimbizi kutoka Congo wanaongoza kwa idadi ya Waafrika wanaopewa approval ya kwenda kuishi Marekani. Kwa hiyo Siyo kwamba Marekani hajaenda Congo
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Unyonyaji wa mzungu plus ujinga wetu umetufikisha hapa

USA ndo mwenyehaki ktk dunia hii yakuamua iendeje

Hiyo documentary kaiandaa nani kwa maslahi ya nani? Tumepumbazwa sana Africa kuona cha mzungu na mzungu ndo bora

Nani asiyeitaka AFRICA
Wewe ni kichaa ukute unamiliki simu ya tecno hujawahi kusafiri umbali wa walau kilomita 1000 uone new exposure.

Walau ungekuwa umetoka nje ya hili bara ungejua kwanini mchina huwezi mlinganisha na Mzungu hata Mara moja.

Muwe mnauliza watu waliotoka nje ya bara sio unakaa kwenu maramba mawili unajiona una full exposure ya mambo.
 
Unafikiri Marekani akiamua kukaa kimia si vikundi vya wahuni vitaua waislamu na kuwamaliza huko mashariki ya kati. Angalia ISIS, Taleban, Hezbollah, sijui vikundi gani vinavyoua watu sasa, fikiri waachwe huru waue watu wanavyojisikia kwa uhuru kwa jina la uislamu, kuna mtu atabaki?

ISIS-Hiki chama Obama anakifahamu(Kuna mkono wa Marekani)

Talebani-Hawa jamaa ndio waliokuwa wanaongoza serikali ya Afghanistan mpaka walipong'olewa madarakani na Marekani (911). Sasa wanahasira na Marekani na wanaitaka nchi yao.

Hezbollah-Hawa hawana ugomvi na waislamu wenzao ila Israel.

Kwa taarifa yako Hezbollah SIYO adui wa Israel, ni adui wa “Sunni” bila Hezbollah hakuna Israel imara! Wajua Hezbollah ni tawi la Iran na Iran inawezesha Israel kuwa imara - kivipi? Bila adui huwezi kujiimarisha(proactive, technologically & militarily preventive measures)!
 
Wewe ni kichaa ukute unamiliki simu ya tecno hujawahi kusafiri umbali wa walau kilomita 1000 uone new exposure.

Walau ungekuwa umetoka nje ya hili bara ungejua kwanini mchina huwezi mlinganisha na Mzungu hata Mara moja.

Muwe mnauliza watu waliotoka nje ya bara sio unakaa kwenu maramba mawili unajiona una full exposure ya mambo.
Kuonesha busara ya exposure yako ungetoa maelezo yakuonesha unachokijua
 
Kwa taarifa yako Hezbollah SIYO adui wa Israel, ni adui wa “Sunni” bila Hezbollah hakuna Israel imara! Wajua Hezbollah ni tawi la Iran na Iran inawezesha Israel kuwa imara - kivipi? Bila adui huwezi kujiimarisha(proactive, technologically & militarily preventive measures)!
Unamaanisha ili uwe imara lazima uwe na adui?
 
Marekani ndie mtetezi mkuu wa uislamu Duniani na waislamu.

Waislamu wengi hutamani kwenda Marekani wakapate uhuru wa kuabudu vizuri, hawatamani kwenda Saudi wala Yemen bali Marekani.

Marekani amekua akitetea waislamu wasali na kufanya ibada zao kwa amani.

Marekani amekua akishughulika na magenge ya wahuni ndani ya uislamu, yanayotumia uislamu kufanya uhalifu dhidi ya binadamu wenzao kwa kigezo cha uislamu.

Waislamu wengi mashariki ya kati hutamani kukimbilia ulaya na marekani wakawe huru kufanya ibada zao badala ya huko salipo chini ya vikundi na magenge ya wahuni wanaotumia uislamu kuwaua, kuwakandamiza na kuwanyima uhuru.

Unafikiri Marekani akiamua kukaa kimia si vikundi vya wahuni vitaua waislamu na kuwamaliza huko mashariki ya kati. Angalia ISIS, Taleban, Hezbollah, sijui vikundi gani vinavyoua watu sasa, fikiri waachwe huru waue watu wanavyojisikia kwa uhuru kwa jina la uislamu, kuna mtu atabaki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wanaenda US kutafta maisha jamho ambalo hata wewe usiokua MUISLAM unaweza kwenda kulifanya

US ndio Muuaji namba moja wawaislam DUNIANI

Hao ISIS kabla ya US kuvamia mashariki yakati uliwahi kuwajua ?!

HIZBULLAH huyu kiboko ya MAYAHUDI wala hana mzozano na WAISLAM wenzake

Mwisho :-US anataka apate sapoti ya WAARABU na WAISLAM katika kupambana na UCHINA ila hatakama atapata kumshusha UCHINA alishachelewa awe tu mpole.
 
... bila Marekani mamilioni ya waislamu Uighur kule China wangeshapotezwa wewe! Marekani amepaza sauti sana kuwatetea hawa jamaa na hakuna jamii inayoishukuru Marekani kama waislamu wa Uighur!
Bila ya US mataifa saba ya waislam wasingepingwa marufuku kuingia US

Bila ya US waislam wa IRAQ wangeishi kwaamani sanaaa
 
Mimi niliwaambia majuzi kule kwenye uzi wa Hhwaei kuondolewa kwenye biashara ya 5G, wengi wanabishana na wengine wanachukulia ushabiki tuu ili mradi kuongea, jaman huu ni ukweli mzee wa fitina akianza acheni mizaha hakuna cha kusema nan ama nan anapingana nae, mrusi mwenyewe na jeuri yake anapigwa sanctions na anatulia sembuse mchina? Ni kwamba DT kaamua kuimaliza Huwaei kabisa kwa sasa, na anataka ahakikishe china wanarudi hatua nyuma kazaa, alianza na tarrifs, mchina alikua anauza US bizaa almost to 500B. Wakat Us anauza 173B kwa tarrif ya juu up to 25% DT akalala nae sahan moja na hii jamaa akalalamika wee na kusema atalipiza waap ngumi ikapita hio, akaja kwenye 5G, amehakikisha wenzie wanaachana na huo mkataba as Huwaei ndio ilikua imepata coverage for 80% of the world, na kampun nyingi walikua washalipia kit tayari, ila biti la mzee wa fitina kwa sasa wengi washakula kona, australia,uk,india,canada,france, na hapo vikwazo rasm ni sept mwaka huu mpaka kufika huko europe nzima patakua hamna mkataba, juz hapa kaingilia kampuni za stock exchange za kichina lazima zikaguliwe US otherwise anazifuta. Sasa kaja na issue ya wafanyakaz wa Huwaei, bado hata sept hatujafika and anakwambia....we have gat all options on the table
 
Katika mishe mishe zangu za maisha nimebahatika kufanya kazi na Wachina ,
Honestly jamaa ni wabaya kuliko tunavyowajua , wabaguzi , dharau na hawajali kabisa rangi hii yetu .na wanafiki kupitiliza .

Inaonekana kabisa ujio wao Africa ni mission fulani , sio kwa maendeleo yetu bali kitu kingine kabisa . Kuna documentary niliangalia inasemekana deep mission ya mchina ni kuwa anaitaka Africa sana , lakini hataki ikiwa na watu Wake , anaitaka kwa sababu kwao hawana tena Ardhi ,

Projects zao zote zimetawaliwa na mikataba migumu sana amabyo haitekelezeki kirahisi , na mingi ipo kuumiza wananchi wa kawaida kwa faida ya viongozi corrupted kadhaa , Zambia walifanikiwa kuyachukua madhirika ya umaa kadhaa , kwa ajili ya mikataba mibovu..

Anachofanya mmarekani kwa huawei na mchina naona Ni sahihi tu

Sent
Hao wazungu wanapokuja huku unahisi wanakuja kwamaslahi yenu ?!

Kuhusiana na ubaguzi mtu mweupe utake usitake atakubagua tu

Kuhusiana na mikataba migumu hamjalazmishwa kusaini ila mnasaini kutokana na umaskini na njaa zenu

Anacho fanya US nisahihi kwamaslahi yake ila ubaya nikwamba hakiwezi kufanikiwa.
 
Mimi niliwaambia majuzi kule kwenye uzi wa Hhwaei kuondolewa kwenye biashara ya 5G, wengi wanabishana na wengine wanachukulia ushabiki tuu ili mradi kuongea, jaman huu ni ukweli mzee wa fitina akianza acheni mizaha hakuna cha kusema nan ama nan anapingana nae, mrusi mwenyewe na jeuri yake anapigwa sanctions na anatulia sembuse mchina? Ni kwamba DT kaamua kuimaliza Huwaei kabisa kwa sasa, na anataka ahakikishe china wanarudi hatua nyuma kazaa, alianza na tarrifs, mchina alikua anauza US bizaa almost to 500B. Wakat Us anauza 173B kwa tarrif ya juu up to 25% DT akalala nae sahan moja na hii jamaa akalalamika wee na kusema atalipiza waap ngumi ikapita hio, akaja kwenye 5G, amehakikisha wenzie wanaachana na huo mkataba as Huwaei ndio ilikua imepata coverage for 80% of the world, na kampun nyingi walikua washalipia kit tayari, ila biti la mzee wa fitina kwa sasa wengi washakula kona, australia,uk,india,canada,france, na hapo vikwazo rasm ni sept mwaka huu mpaka kufika huko europe nzima patakua hamna mkataba, juz hapa kaingilia kampuni za stock exchange za kichina lazima zikaguliwe US otherwise anazifuta. Sasa kaja na issue ya wafanyakaz wa Huwaei, bado hata sept hatujafika and anakwambia....we have gat all options on the table
US kuisakama HUAWEI anaisakama ila Kuimaliza HUAWEI hawez

Unaifananisha RUSSIA na UCHINA taifa lapili kiuchumi ULIMWENGUNI...
 
Marekani anawatetea Uighur Muslims kwaajiri ya kuijenga china au kuibomoa?
US mnafiq hajawahi kua mtetezi wa WAISLAM anawatetea kwamaslahi yake natena hawatetei

Lengo nikuibomoa UCHINA

angewatetea waislam wa MYANMAR kwanza...
 
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo ametangaza kua serikali ya nchi hiyo itawawekea vikwazo vya kusafiri wafanyakazi wa makampuni ya kichina ikiwemo Huawei.

Pompeo amesema watawawekea vikwazo na kuwapiga marufuku wafanyakazi wa makampuni ya kichina wasisafiri hivyo kuathiri kabisa utendaji kazi wao.

Marekani anasema anataka kuiadhibu China kwa sababu ya udanganyifu wake wa kukabiliana na Corona, biashara zisizoeleweka(unfair business practices), kuwaonea waislamu pamoja na kutunga sheria kandamizi dhidi ya Hong Kong.

US announces visa restrictions for employees of Huawei and other Chinese tech companies
Tuletee pia na mrejesho wa Uchina kutangaza marufuku ya kusafiri
 
Back
Top Bottom