Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Bashite kazuiwa kwa sababu ya kupiga kelele kuhusu ushoga, mm sio shabiki wake lakini ukweli mkubwa ndio huo, sio kila anaezuiliwa kuingia us ni muovu, mara nyingi marekani anaangalia maslah yake
Ha ha ha ha, hi vita ni kubwa.Kwa hiyo bashite sio muovu? Bashite kazuiwa sababu ya kuzurumu watu haki ya kuishi mataga ndo mkaja na gia ya ushoga ili kumtetea.
Hahahaaaa.....m bongo ni kwikwiHuwezi jua, labda Trump amesilimu.
Nimeshindwa hadi kushangaa, nafikiri kuna kitu kipo jikoni, chuki inatengenezwa kumgombanisha mchina na Uislam duniani maana yeye kama yeye Mmarekani kashamshindwa Mchina, tusubiri tuone.Hahaha Marekani ameanza lini ushosti na Waislamu?
Dona kantreeeTanzania unaichukuliaje mzee?
OkDona kantreee
Tafsiri=translation, uliomba tafsiri (translation) ya Gaidi nami nikakupa tafsiri (translation) yake.Sexer heshima kwako, ila mkuu hujatafsiri neno GAIDI ulichofanya wewe ndugu yangu ni neno la kiswahili ukalipeleka kwenye kiingereza.
Naomba tafsiri ya neno GAIDI kwa kiswahili tena kwa ujazo wake.
Post ulioquote mistari miwili ya mwisho ndio nahitaji unijibu?Tafsiri=translation, uliomba tafsiri (translation) ya Gaidi nami nikakupa tafsiri (translation) yake.
Na pia mara ya pili nimekutafria kwa kizulu.
Mkuu tayari nino GAIDI ni la kiswahili, Sasa nitalitafsirije Tena kwa kiswahili?Post ulioquote mistari miwili ya mwisho ndio nahitaji unijibu?
Eleza maana ya neno Gaidi?Mkuu tayari nino GAIDI ni la kiswahili, Sasa nitalitafsirije Tena kwa kiswahili?
Nomino Mtu afanyaye Ugaidi.Eleza maana ya neno Gaidi?