Marekani yatarajia kuzuia mitandao ya kijamii ya China ikiwemo TikTok

Marekani yatarajia kuzuia mitandao ya kijamii ya China ikiwemo TikTok

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mike Pompeo amesema Marekani inaangalia kuzuia matumizi ya Apps za wachina. Alisema wanachukulia swala hilo kwa uzito sana

Wataalamu wa kidiplomasia wa nchi Marekani wamesema, watu wajue kuwa wanapopakua apps hizo wajue kuwa taarifa zao binafsi zitaenda kwa serikali za China

Msemaji wa TikTok amesema Mkurugenzi Mtendaji wa TikTok ni mmarekani na wanaheshimu usalama wa watumiaji na wala hawapeleki taarifa hizo kwa serikali ya China hata wakiombwa

Marekani inaonekana kuwa na mtafaruku na China kwenye maswala ya uasalama wa taifa, biashara na teknolojia

====

The United States is "looking at" banning Chinese social media apps, including TikTok, Secretary of State Mike Pompeo said Monday.

Pompeo suggested the possible move during an interview with Fox News' Laura Ingraham, adding that "we're taking this very seriously."

Pompeo was asked by Ingraham whether the United States should be considering a ban on Chinese social media apps, "especially TikTok."

"With respect to Chinese apps on people's cell phones, I can assure you the United States will get this one right too, Laura," he said. "I don't want to get out in front of the President [Donald Trump], but it's something we're looking at."

Washington's top diplomat added that people should only download the app "if you want your private information in the hands of the Chinese Communist Party."

"TikTok is led by an American CEO, with hundreds of employees and key leaders across safety, security, product, and public policy here in the US," a TikTok spokesperson said in a statement following Pompeo's comments. "We have no higher priority than promoting a safe and secure app experience for our users. We have never provided user data to the Chinese government, nor would we do so if asked."

Pompeo's remarks come during a time of heightened tensions between the United States and China, which have spilled over into several arenas including national security, trade and technology.

TikTok — which is owned by Beijing-based startup ByteDance — has been repeatedly criticized by US politicians who accused the short-form video app of being a threat to national security because of its ties to China. They allege that the company could be compelled to "support and cooperate with intelligence work controlled by the Chinese Communist Party."

TikTok has said previously that it operates separately from ByteDance. It says its data centers are located entirely outside of China, and that none of that data is subject to Chinese law. US user data is stored in the United States, with a backup in Singapore, according to TikTok. A spokesperson for the company told CNN Business in May that it thinks the national security concerns are "unfounded."

The app has exploded in popularity in the United States and other western countries, becoming the first Chinese social media platform to gain significant traction with users outside of its home country. It was downloaded 315 million times in the first three months of this year, more quarterly downloads than any other app in history, according to analytics company Sensor Tower.

The company has also run into roadblocks elsewhere. Last week, the Indian government said it would ban TikTok and other well-known Chinese apps because they pose a "threat to sovereignty and integrity." Tensions between India and China have been escalating after a clash along the Himalayan border.
 
Wiki iliyopita nilisema kwamba madai ya India kusema eti smartphone apps za Kichina zina embeded software za ku-hack unsuspecting users huo ni uzushi mtupu wenye lengo la kumuharibia biashara Uchina, nilisema vile vile kwamba the brains behind tuhuma hizo ni Trump na Pompeo hao ndio waliwatumia Wahindi kueneza madai ya kutunga tu hii inatokana na USA kushindwa kui-contain kampuni ya Huawei, mwanzo USA ili lazimika kuja na Plan “B” kwa kupitia mgongo wa Wahindi hivi sasa ndio Pompeo amehamua kujitokeza adhalani anarudia ngonjera zile zile alizo wa-coach Wahindi namely kuwasingizia Wachina kwamba Apps zao zimesheeni program za kijasusi wakati hiyo si kweli hata kidogo, sasa wale wote waliokuwa wanabeza maoni ya kusema kwamba USA ina mkono wake katika shutuma za India kuhusu makampuni ya Wachina yanayo tengeneza application programs zinazo tumiwa kwenye smartphones, bahati nzuri watumiaji walio wengi wanajua hizo ni fitina tu zenye lengo la ku-sabotage kumpuni za Kichina.
 
Back
Top Bottom