#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Chanjo iliyopo Tanzania ni moja tu? Ndo hiyo ya J & J?
 
Tengeneza za kwako , omba msaada za mabeberu wa kichina au Kanywe ile dawa anayogawa Rais mwenyewe Kabudi aliyoileta kutoka Madagascar.

Kweli Kabudi uliungurumisha dege letu kwenda kutuletea togwa la madagascar ili malofa na wapumbafu tuinywe kama dawa na kinga ya uviko? Halafu umekausha kama vile hujatukosea? ..Mungu anakuoneni!
 
Chanjo iliyopo Tanzania ni moja tu? Ndo hiyo ya J & J?
Mkuu, mchango wako huu unarudi kwenye hoja yangu ya msingi ambayo nimesema kwa nini serikali isilete pia chanjo zingine ili wananchi wachague ni ipi wanapenda kuchanjwa kati ya hizo chanjo.
 
Mkuu, mchango wako huu unarudi kwenye hoja yangu ya msingi ambayo nimesema kwa nini serikali isilete pia chanjo zingine ili wananchi wachague ni ipi wanapenda kuchanjwa kati ya hizo chanjo.
Kwani wamesema hawataleta chanjo zingine?

Ndo kwanza mchakato wa kuleta chanjo umeanza.

Wape muda.
 
Kwani wamesema hawataleta chanjo zingine?

Ndo kwanza mchakato wa kuleta chanjo umeanza.

Wape muda.
Kwa sababu muda hutoa jibu sahihi, acha niwape muda huku nikiwa na ufahamu mzuri wa historia ya wanasiasa wetu!

Sitashangaa kuona shehena nyingine ya chanjo za Johnson and Johnson vaccine ikiingia nchini!
 
Kwani ukimuombea mtu afe, utarithi Mali zake, au mke wake au unafikiri itakupunguzia matatizo uliyokua nayo au unafikiri itatengeneza njia yako ya kwenda Mbinguni?
Mbona mnachuma dhamba zisizo na ulazima?
Wapi nimemuombea mtu afe wakati mimi nimeeleza jinsi mwendazake alivyonusurika kumuua Tundu Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…