#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Promising

Ni aina gani ya chanjo?

Nimetafuta mitandaoni lakini so far inaonekana hakujakua updated
You're nothing but just lab rats, itakuwa ndiyo inafanyiwa majaribio kwenu kama ina react namna gani yaani kama ina side effects au la.
 
Wakuu ni aina gani ya chanjo tumeletewa kutoka marekani?Mbona imekua siri hawasemi?
Wewe subiri uchomwe tu, wangekuwa na nia ya kuitolea ufafanuzi wangefanya hivyo lakini hapa wameamua kukausha tu so do what you gotta do yaani kusuka au kunyoa.
 
Mama si ndio atakua wa kwanza kichanjwa mbele ya camera au?
Unadhani atachanjwa sawa na utakayochanjwa wewe, unadhani Biden kachanjwa sawa ni hiyo mliyoletewa huko?
Think deep bro.
 
Tunawashukuru,sababu hawajaanza kutusaidia leo
Walianza zamani sana,ile miaka ya chakula cha yanga,na vile vyakula vilitwa bruga,miaka ya hivi karibu wakahamia kwenye ARVs,TB,Malaria,huduma za afya kwa mama na mtoto, mengi.hao hao ndiyo wanaoingiza fedha TASAF,chanjo ya surua,polio,.sikuelewaaga kabisa kwamba sasa hiv wana nia ya kutuua kupitia chanjo ya covid 19.sijui hiyo nia ya sasa iwe ni kwa sababu gani. sababu ukweli nchi yetu imeishi kwa misaada kwa kiasi kikubwa kutoka kwao saana,na inaendelea kutusaidia pakubwa

labda wale wajuvi watuambie sababu ni nini?
ni makinikia au ni gesi?au mbuga za wanyama? wanataka kutua kwa chanjo kwa sababu ya nini eti?
That's one damn zillion dollars question.
 
.
IMG_20210726_002905.jpg
 
Tena MAGAIDI na WAHAINI wakubwa. Wapigwe risasi hadharani kama Tundu Lissu alivyokoswakoswa kuuawa mchana kweupe baada ya walinzi kuondolewa na CCT kung'olewa.
Kwani ukimuombea mtu afe, utarithi Mali zake, au mke wake au unafikiri itakupunguzia matatizo uliyokua nayo au unafikiri itatengeneza njia yako ya kwenda Mbinguni?
Mbona mnachuma dhamba zisizo na ulazima?
 
dunia ya leo bado unawaza kuwa mke hurithiwa?
 
Mkuu wewe ni moja kati ya watu huwa nawa admire sana humu jamvini kwa hoja makini.

Ila kwa hili umepotoka pakubwa
Watu bwana mumelilia chanjo imekuja, lakini bado munaibua mengine tena?
 
Mabeberu sio jina la watu au taifa fulani, ubeberu ni tabia, kama ulivyo ukaburu, kaburu sio mzungu tuu hata Mswahili anayefanya ubaguzi wa rangi ni kaburu!. Marekani na Ulaya wanapotusaidia ni nchi rafiki, ni nchi wafadhili, ni donor countries na development partners, lakini wakitufanyia vitendo vya ubeberu ni mabeberu !.
P
👍
 
Natamani ungekua unasimamia maneno yako Kaka! Sema unayumba sana
 
Nina rafiki zangu wamarekani wamekuja hapa two weeks ago kikazi.Wao walishachanjwa huko kwao.
Nimewaambia kuhusu hii chanjo ya Johnson wametahamaki vibaya na wameniambia nisithubutu kusogeza bega langu!Nisubiri chanjo nyingine.Mimi nimeamua kuwasikiliza.Sichwanjwi Johnson &Jonhson
Kwahiyo kwasababu wanatoka Marekani ni experts.. Get real! Hata kama huko kwao ni wasafisha barabara tuwaamini tu!
 
Sijui Shetani (Nyoka) alimwambia nini Eva kuhusu Fedha siku wanakutana kwenye bustani 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Watu bwana mumelilia chanjo imekuja, lakini bado munaibua mengine tena?
Mkuu

Sidhani sana kama kuna umuhimu wa wewe kuni quote kama huna hoja muhimu ya kuniambia
 
Back
Top Bottom