#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Wewe umeambiwa chanjo imetolewa bure, ni kitu gani unatarajia.............after all hiyo chanjo haitakiwi kutumika kibiashara kwa watu wengi kwa sababu bado inapitia kwenye hatua za utafiti, haijapata final approval......kama hiyo chanjo ya majaribio imekataliwa huko kwao, ni dhahiri italetwa kwa panya weusi kwani wao hawana thamani ukilinganisha na panya weupe wa majaribio, tumeelewana?
 
Watanzania wenzangu SAYANSI si SIASA....

Shime tujitokezeni tukachanje chanjo hizo ili tupambane vyema na UGONJWA HUU ULIOTAPAKAA!!

#AfyaYakoNiMuhimu
#AfyaYaMwenzakoPiaMuhimu
Mwigulu amechanjwa?
 
Acha uongo wako wewe! Chanjo ya Johnson & Johnson haijapigwa marufuku Marekani.

Uzushi uzushi tu ndo mliobaki nao.
Kaa kwa kutulia wewe mbeba mabox, unaweza kukuta inadungwa kwenu wabeba mabox na wale panya weusi kwani hamna thamani kama panya weupe...
 
Halafu halafu pascal anakuja na Uzi wake na kuwaita mabeberu
Mabeberu sio jina la watu au taifa fulani, ubeberu ni tabia, kama ulivyo ukaburu, kaburu sio mzungu tuu hata Mswahili anayefanya ubaguzi wa rangi ni kaburu!. Marekani na Ulaya wanapotusaidia ni nchi rafiki, ni nchi wafadhili, ni donor countries na development partners, lakini wakitufanyia vitendo vya ubeberu ni mabeberu !.
P
 
Sifurahiii hata kidogo kupokea misaada,ila pia nazishukuru jumuia za kimataifa zinazotupa huo msaada,sababu siyo wajibu wao ni umaskini wetu na njaa zetu.so tuendelee kuwashukuru kwa sababu bado hatuna uwezo wa kujitosheleza.Huwezi endelea kumbeza jirani wakati kila siku ndiyo anayekusitiri kuitunza familia yako isife njaa.Kataa msaada wake ili familia yako ife njaa
Unajua lakini uachokisema? Unajua kwanini sisi ni masikini na wao ni tajiri? Unajua watu kama nyie ambao mnaandika vitu bila kujua nini mnaandika na kupata taarifa kamili.

Sisi tuko masikini kwa sababau wao ndiyo wanataka hivyo. Hujui kuwa wanatumia uwezo wao kutupumbaza sisi? Vile vile unajua wao wana vyombo ambavyo wamevitengeneza ili sisi vitumalize sisi kama World Bank na IMF? Hata hivyo UN, WHO, UNICEF na kadhalika ni vyombo vyao vya kutukandamiza sisi. Hujui hilo?

Sisi hatukuwafuata wao. Wao walikuja kwetu na kujaza ya kwao. Lengo ni kutufanya sisi tuwe tegemezi wa products zao. Sisi walitutawala ili tuwe wazalishaji. Baada ya kugundua mashine wakawa hawatuhitaji tena. Hii misaada ni ya kutulemaza sisi ili tuwategemee wao na tusitumie ubongo wetu kufanya mambo yetu weyewe.

Wanacho kifanya hivi sasa watu weusi walikiweza mda mrefu sana kabla ya wao kujanjaluka. Wakati mtu mweusi, ambaye wewe unamwona ni masikini, akiwa ameendelea wao hata maana ya choo walikuwa hawajui ni nini? Kama huamini ninacho kuambia basi naomba chukua mda kuiangalia hii Documentary!

 
Kwani alisemaje?
Screenshot_20210725-223756~2.png

 
Hakukataa chanjo wala madawa ya magonjwa yote. Ndio sababu ndiye rais aliyejenga hospital nyingi zaidi za wilaya tangu uhuru. Alichokataa ni chanjo ya korona sababu ya uchache wa mda uliotumika kuivumbua hakuna clinical trials za kutosha kujua long term effects.
Dunia na Sayansi imebadilika shida watu hawajabadilika.Zamani gari lilitrngenezwa siku au wiki kadhaa ,siku hizi gari hilo hilo linatengenezwa kwa siku.Basi chanjo alikataa why njia nyingine za kuzuia maambukizi alikataa ?what was his agenda kwenye maisha yetu.Kuvaa barakoa nk aliona ni ubeberu wakati ni sayansi ya kawaida ya kujikinga ma magonjwa ya mfannano huu.
 
CDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
Lakini unaonaje, kuna namna mnaweza ku survive bila ya mabeberu?
 
Back
Top Bottom