Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Abubakar ni nani?CDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abubakar ni nani?CDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
achana naye. Source yake ya news Ni TBC na gazeti la Uhuru.Weka ukweli, mbona makasiriko??
Tena MAGAIDI na WAHAINI wakubwa. Wapigwe risasi hadharani kama Tundu Lissu alivyokoswakoswa kuuawa mchana kweupe baada ya walinzi kuondolewa na CCT kung'olewa.Magaidi Chadema wakipokea Chanjo ya Johnson & Johnson
View attachment 1868016
View attachment 1868017
View attachment 1868019
Tena hili lichunga ng'ombe ndio ng'ombe kabisa lisilojitambua. Kichwa chake kimejaa konokono na maggots.
Mwigulu amechanjwa?Watanzania wenzangu SAYANSI si SIASA....
Shime tujitokezeni tukachanje chanjo hizo ili tupambane vyema na UGONJWA HUU ULIOTAPAKAA!!
#AfyaYakoNiMuhimu
#AfyaYaMwenzakoPiaMuhimu
Kaa kwa kutulia wewe mbeba mabox, unaweza kukuta inadungwa kwenu wabeba mabox na wale panya weusi kwani hamna thamani kama panya weupe...Acha uongo wako wewe! Chanjo ya Johnson & Johnson haijapigwa marufuku Marekani.
Uzushi uzushi tu ndo mliobaki nao.
Pamoja sana mkuuShukrani sana Mkuu. Tuendelee kuwa pamoja
Pamoja MpwaPamoja sana mkuu
Tunashukuru sana mkuu kwa kutupenyezea huu ubuyu.......tupo pamoja sana mwananzengo.Pamoja Mpwa
Mabeberu sio jina la watu au taifa fulani, ubeberu ni tabia, kama ulivyo ukaburu, kaburu sio mzungu tuu hata Mswahili anayefanya ubaguzi wa rangi ni kaburu!. Marekani na Ulaya wanapotusaidia ni nchi rafiki, ni nchi wafadhili, ni donor countries na development partners, lakini wakitufanyia vitendo vya ubeberu ni mabeberu !.Halafu halafu pascal anakuja na Uzi wake na kuwaita mabeberu
Unajua lakini uachokisema? Unajua kwanini sisi ni masikini na wao ni tajiri? Unajua watu kama nyie ambao mnaandika vitu bila kujua nini mnaandika na kupata taarifa kamili.Sifurahiii hata kidogo kupokea misaada,ila pia nazishukuru jumuia za kimataifa zinazotupa huo msaada,sababu siyo wajibu wao ni umaskini wetu na njaa zetu.so tuendelee kuwashukuru kwa sababu bado hatuna uwezo wa kujitosheleza.Huwezi endelea kumbeza jirani wakati kila siku ndiyo anayekusitiri kuitunza familia yako isife njaa.Kataa msaada wake ili familia yako ife njaa
Kwani alisemaje?
Dunia na Sayansi imebadilika shida watu hawajabadilika.Zamani gari lilitrngenezwa siku au wiki kadhaa ,siku hizi gari hilo hilo linatengenezwa kwa siku.Basi chanjo alikataa why njia nyingine za kuzuia maambukizi alikataa ?what was his agenda kwenye maisha yetu.Kuvaa barakoa nk aliona ni ubeberu wakati ni sayansi ya kawaida ya kujikinga ma magonjwa ya mfannano huu.Hakukataa chanjo wala madawa ya magonjwa yote. Ndio sababu ndiye rais aliyejenga hospital nyingi zaidi za wilaya tangu uhuru. Alichokataa ni chanjo ya korona sababu ya uchache wa mda uliotumika kuivumbua hakuna clinical trials za kutosha kujua long term effects.
Nenda kadungwe chanjo hakuna
Tena wa kwanza haaaa unaloooNenda kadungwe chanjo hakuna aliyekuzuia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hizo ndio zimekuja spesho kuwaua mataga na sukuma gengi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1866239
Lakini unaonaje, kuna namna mnaweza ku survive bila ya mabeberu?CDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
He is one stupid dumb ass, an opportunist so to say.Halafu halafu pascal anakuja na Uzi wake na kuwaita mabeberu