#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwan
Upupu mtupu
1621842341079.jpg
 
Utakuwa unadanganya. USA zinatumika aina tatu Pfizer, Moderna na hii Johnson
Nazijua vizuri tu.Ila ndio hivyo.Rafiki zangu ni wa huko na wameshachanjwa Pfizer.Hawanishauri kabisa hiyo Johnson&Johnson.Fanya uchunguzi utajua sababu.
Nasubiri Sputnik.Wewe nenda na familia yako mkachanjwe bwana,hamna shida kabisa.
 
Maana ya hizi chanjo kuwa hiyari maana yake ni kwamba use them at your own risk.

Kwenye hili suala la corona na kinga zake:
1. Kuna ishu ya biashara, mabilion ya madola tayari yameshatumika katika kutengeneza hizi chanjo. Wao walioshikilia mpini watazimarket kwa njia yoyote ile ili ziuzike. Wameshaandaa wapiga debe wa kutosha, wanasayansi, waandishi wa habari, WHO, storyline itabaki ile ile: Vaccines are effective ( tena zile zinazotengenezwa marekani na ulaya tu), the risks outweighs the threat, the unvaccinated are dying more than the vaccinated (hata kama si kweli). Vyovyote vile lazima vaccines ziuzike.

2. Kuna ishu ya power na control. Vaccine diplomacy wao wanaita. Hakuna rangi tutaacha kuona kati ya vita ya mmarekani na mchina kwenye hii ishu ya kuiinfluence Afrika. Mmarekanai anadai China anaiteka Afrika kwa mikopo yake ya kishenzi, naye Mmarekani hataki kuachwa nyuma so kaja na dozi zake za kinga ya corona na kuzigawa Afrika na kwingineko anakohisi China ana influence.

3. Kuna ishu ya mtu binafsi na mataifa kujitambua. Katika haya yote sisi watu binafsi tuna maamuzi. Na nchi pia ziamue. Ziamue kufanywa biashara, kufanywa jaribio, kufanywa mchezo wa kuigiza au kuwa sehemu ya huo mchezo.

Mimi hapa nina popcorn zangu naucheki huu mchezo wote unaendeleaje na utaishaje.
 
Because they saw people getting blood clots after getting the J&J. They looked at the data and found it was an extremely rare side effect. They ran the numbers and saw that it was much safer to take the J&J than remain unvaccinated. They knew that we don't have enough mRNA vax for everyone. Also the J&J requires less cooling so it's the only option in many rural areas. So it was obvious that the right thing to do would be to unsuspend it. It definitely saved a lot of lives as the data we have now shows that 95%+ of COVID-19 deaths are unvaccinated in the US.
 
Kwa maelezo haya hata mm nitasubiri nyingine
Leo hii hamuwaamini tena wazungu? Maana kama wangetaka kuwaua wangekuwa wamewaua tangu zamani tu, kwahiyo kwavyovyote vile hiyo chanjo itakuwa salama tu, 😂...Au mmebadili mtazamo baada ya chanjo kuingia?
 
Acha uongo wako wewe! Chanjo ya Johnson & Johnson haijapigwa marufuku Marekani.

Uzushi uzushi tu ndo mliobaki nao.
Hehe nilipata moderna niliumwa acha tu .Personal I don’t advice mtu kupata vaccine too much politics na once Chanzo zikikaa kibiashara .Huyo Dr Fauci disaster .your talking about government here .Halafu is not approved by FDA Unajua ni trial
 
"It’s not just the Covid shot Guillain–Barre has been linked to—it appears to be a very rare side effect of almost any viral infection, including from flu shots. According to the CDC, annual flu shots can lead to an expected increase of 1-2 Guillain–Barre cases per million doses given"
 
Because they saw people getting blood clots after getting the J&J. They looked at the data and found it was an extremely rare side effect. They ran the numbers and saw that it was much safer to take the J&J than remain unvaccinated. They knew that we don't have enough mRNA vax for everyone. Also the J&J requires less cooling so it's the only option in many rural areas. So it was obvious that the right thing to do would be to unsuspend it. It definitely saved a lot of lives as the data we have now shows that 95%+ of COVID-19 deaths are unvaccinated in the US.
Sasa Kwa nini hawataki kuchunguza chanzo cha covid ??
 
Waswahili wanasema, ukiwa mjanja sana jitahidi usiwe limbukeni. Serikali ya Wanyonge walijifanya hawataki Chanjo, sasa ubishi wao wamejikuta wanapokea Chanjo ambayo nchi nyingine kama US waliipiga marufuku.

ujanja mwingi kumbe hamna kitu

View attachment 1868000

View attachment 1868001

View attachment 1868002

Mnapata faida gani kusema uongo?
 
Back
Top Bottom