Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na vifaa vya nyuklia."

 
Halafu eti kunawajinga wanasema kuna nchi moja hivi ndio super power ya Dunia?

Matakwoo kabisa yaani
 
Ingekuwa rahisi hivyo wasingehangaika na Iran wangeachana naye kwakuwa wanazo silaha za kuangamiza silaha zake.
 
Back
Top Bottom