Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

Hzo silaha zake anauza kilazima sio kama watu wanazikubali kiubora akisikia hujanunua kwake silaha ananuna na vikwazo anakuwekea aache soko liwe huru aache watu wachague wanapotaka kununua aone km kuna atakaenunua kwake lakini yy anawawekea vikwazo wenzake hili yy auze.
Hizo ndio tabia za wababe au watu waliokuzidi kitu fulani yaani kila kitu wanakupangia
 
Uturuki alikuwa amezuia Sweden isijiunge NATO Ili kuishinikiza marekani imuuzie ndege za f-16.
Mpaka marekani alipokubali kuiuzia uturukif-16 ndio ikaondoa zuio la kujiunga NATO!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Eeeh unataka kunambia Uturuki ilikuwa inaona ni bora kupata F-16 kuliko wale wakimbizi wa kisiasa ambao wakitaka kuipindua Serikali ya Rais Edogan?
 
Back
Top Bottom