Warmonger sasa hizo silaha za nn ? Huyu ni kirus duniani kila vita anatia mkono...Angetulia nchi yake ,ngoja kinuke huko kwake ataelewa malipo ni hapa hapa duniani.
Hzo silaha zake anauza kilazima sio kama watu wanazikubali kiubora akisikia hujanunua kwake silaha ananuna na vikwazo anakuwekea aache soko liwe huru aache watu wachague wanapotaka kununua aone km kuna atakaenunua kwake lakini yy anawawekea vikwazo wenzake hili yy auze.
Uturuki alikuwa amezuia Sweden isijiunge NATO Ili kuishinikiza marekani imuuzie ndege za f-16.
Mpaka marekani alipokubali kuiuzia uturukif-16 ndio ikaondoa zuio la kujiunga NATO!