Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Mimi kukosa ndugu aliekufa kwa Corona ndicho kipimo cha kuthibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona? Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?Wewe una ndugu aliyekufa kwa Corona?
Wameshamalizana nae.Wamalizane na Trump kwanza!
Hivi uko serious na ulichoandika au?hawa mabeberu washenzi sana ,Tanzania tumeishinda korona kwa maombi tuliyofanya na usubutu waRaisi wetu jpm ,,
Ndio kipimo bwashee au unadhani wanapimia wapi?Mimi kukosa ndugu aliekufa kwa Corona ndicho kipimo cha kuthibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona?Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?
Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?Ndio kipimo bwashee au unadhani wanapimia wapi?
Wamekufa wangapi unaowajua wewe na ambao hawasemwi na hospitali.Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Wanapima!Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?
Subiri ukifa wewe ndo tutakutajia idadiWamekufa wangapi unaowajua wewe na ambao hawasemwi na hospitali
Kuna watu nawafahamu familia nzima wamelazwa aga khan wana corona isipokua mtoto wao wa kwanza ambae yupo boarding, huyo mama ni family friend wetu na alinipigia kuniomba kwamba mwanae huyo aliopo boarding akifunga shule nikamchukue akae kwangu mpaka wao watakapopona ili asipate maambukiziTanzania kuna Corona au haipo?
Atuambie maana yawezekane tayari yeye ni YatimaVipi wangapi hapo kwenu wamekufa na corona?
Mtumwa kwenye ubora wakeMungu wabariki Wazungu
Wewe unaundugu na walio chuku uro27m za Corona?Wewe una ndugu aliyekufa kwa Corona?
Jibu maswali yangu kwa ufasaha kaka!Nimekuuliza Tanzania corona ipo au haipo ukanijibu kuwa kwani nina ndugu aliekufa kwa Corona?, ndipo nikakuuliza:Wanapima!
We mbona hujafa mkuuCorona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli