Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Ujongwa huu haujaisha by 100%, cha muhimu nikuchukua taadhari pale inapo bidi - lakini Balozi kutovaa face mask kwenye gathering kunaonyesha kwamba ana amini kwamba maabukizi ya corona nchini in almost negligible - my opinion.

Balozi wa Marekani kuamini kuwa maambukizi hapa nchini ni almost negligible inathibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona? Trump alipokuwa havai face mask kwenye mikusanyiko ilithibitisha kuwa maambukizi kule Marekani yalikuwa negligible?
 
Kuna watu nawafahamu familia nzima wamelazwa aga khan wana corona isipokua mtoto wao wa kwanza ambae yupo boarding, huyo mama ni family friend wetu na alinipigia kuniomba kwamba mwanae huyo aliopo boarding akifunga shule nikamchukue akae kwangu mpaka wao watakapopona ili asipate maambukizi...
Kwani ukitangaziwa kwamba korona ipo ndio hautaambukizwa au? Kumbuka Marekani ni nchi kubwa na inachukua kila aina ya tahadhari lakini bado watu wanakufa! Sasa ni bora utangaziwe kuwa jirani yako hapo unapoishi amepata korona ili ujifungie na ushindwe kufanya shughuli za kipato ili ufe njaa au?
 
Waache uzushi wao, Tanzania hakuna corona.... napofanyia kazi tuna interact na watu wa mataifa mbali mbali (na wamerekani wakiwemo) wanaingia nchini na kutoka as they please na hakuna ht mmoja aliewahi kusikika ana corona ...... nonsense!!
 
Corona bado ipo Sana tu.....na sio lazima mtu akiwa na corona lazima afe.... Wengine kwa sababu ya uimara wa Kinga mwili zao Wanakuwa ni wabebaji tu wa virusi...na kuwaambukiza wenye kinga hafifu..,..tumeshuhudia watu wengi hasa wacheza mpira kukutwa na corona huku wakiwa hawana dalili moja....lakini je inakuaje nchi majirani zetu corona ipo kwetu ikosekane.
 
Mimi kukosa ndugu aliekufa kwa Corona ndicho kipimo cha kuthibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona?Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?

Pana mi jamaa ya chama fulani, kwa hakika ni mijinga kweli kweli!

Tunaelewana ndugu zanguuuuu?
 
Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Umesikia wap kafa mtuu au umeona takwimu mpaka unaongea au umejitoa fahamu mkuu
 
Back
Top Bottom