M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
Wazungu wabarikiwe sana kwa kweli.Naona Wakenya wanahangaika sana na TZ! Nyinyi Kunyaland mind your own business!!
Wazungu wabarikiwe sana kwa kweli.Naona Wakenya wanahangaika sana na TZ! Nyinyi Kunyaland mind your own business!!
Wiki iliyopita kuna mmarekani amefariki Zenji. Sijua kama wameshamsafirisha lakini huenda ndiyo amefanya watoe hii tahadhari kwani mazingira aliyofariki yana-point kwenye covidTanzania kuna Corona au haipo?
Usubutu ndyo nini?hawa mabeberu washenzi sana ,Tanzania tumeishinda korona kwa maombi tuliyofanya na usubutu waRaisi wetu jpm ,,
Tahadhari ni muhimu, ndio maana hata mlipuko wa kipindupindu ukianza wizara huwa inatoa tahadhari kwa wananchi, usijifanye hamnazo au wakati wa mvua mamlaka ya hali ya hewa huwa inatoa tahadhari ya mafurikoKwani ukitangaziwa kwamba korona ipo ndo hautaambukizwa au? Kumbuka marekani n nchi kubwa na inachukua kila aina ya taadhar lkn bado watu wanakufa! Sasa n bora utangaziwe kuwa jiran yako hapo unapoishi amepata korona ili ujifungie na ushindwe kufanya shughur za kipato ili ufe njaa au?
Hatua tuliyoichukua dhidi ya Corona ya kujitoa ufahamu ilikuwa na Matunda ya muda mfupi tu ila in a long run itatuumiza, sijui wale wanaowaita wenzao ni short sighted kama nao huwa wanajihoji uwezo wao wa kuona mamboSerikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Marekani kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona...
Watu😃😃😃😅😅😅😅
wapoVipi wangapi hapo kwenu wamekufa na corona?
Kwani sasa hivi waafrika mko hai?Mungu akiwabariki wazungu utakufa maskini kiakili na kiuchumi
Umebaki wewe. Nafikiri ufe mapema ili tupumzike na corona hii.Watu
wapo
Corona ipo inaua kimya kimya na watu hawasemi kwa hofu ya kutengwa na jamiiHatua tuliyoichukua dhidi ya Corona ya kujitoa ufahamu ilikuwa na Matunda ya muda mfupi tu ila in a long run itatuumiza,sijui wale wanaowaita wenzao ni short sighted kama nao huwa wanajihoji uwezo wao wa kuona mambo
Utaanza wewe keshoUmebaki wewe. Nafikiri ufe mapema ili tupumzike na corona hii.
Corona ipo lakini watu wanaogopa kesema kwa hofu ya kubambikiwa kesi kuwa wametoa takwimu kinyume cha SheriaIpo tuchukue tahadhari kabisa!
Nyungu tangawizi limau vinahusika mnoWe mbona hujafa mkuu
Vipi waafrika wanaoua waafrika wenzao?Watu kam. Nyinyi hamfai hat kukaa nasi mtu unae mshabikia .mzung anae ua mtu.mweusi ambao ukiulz wanatetea juu kwa juu unakosea mkuu
Wanaugua kimya kimya wanapona pasipo kukuambia kitu sasa wanaugua kwa siriWaache uzushi wao, Tz hakuna corona.... napofanyia kazi tuna interact na watu wa mataifa mbali mbali (na wamerekani wakiwemo) wanaingia nchini na kutoka as they please na hakuna ht mmoja aliewahi kusikika ana corona ...... nonsense!!
Weupee.We
Mabeberu weusi au weupe ?
Wengi wakija Tanzania hupima covid 19 wakati wakiwa wanakuja lakini kipindi wakiwa wanaondoka wakipima tena hukutwa navyo ina maana kuna corona mitaani lakini pengine ni corona inayoshindwa kutokana na joto la huko DsmWiki iliyopita kuna mmarekani amefariki Zenji. Sijua kama wameshamsafirisha lakini huenda ndiyo amefanya watoe hii tahadhari kwani mazingira aliyofariki yana-point kwenye covid
Bila beberu siamini kama kuna mwendelezo wa uzaoKwa kuwa unapingana na misimamo ya mabeberu...kwa kuwa unakataa unyonyaji wa mabeberu....