ndiuka
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 699
- 826
Toa ushahidiCorona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Toa ushahidiCorona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
We una corona au hauna? Na je upo karantini au haupo? Unavaa barakoa au huvai? Unatumia Sanitizer au hutumii? Maeneo unayotembelea yana msongamano au hayana? Hebu tupe majibu ya haya maswali kwanzaJibu maswali yangu kwa ufasaha kaka!Nimekuuliza Tanzania corona ipo au haipo ukanijibu kuwa kwani nina ndugu aliekufa kwa Corona?, ndipo nikakuuliza:
Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?
Jibu ulilonipa halina uhusiano wowote na swali langu hili
Kuna hospital kama Hindumandal wako careless sana. Wahudumu na Drs hawavai Barakoa hata wagonjwa ni free movement tu.Kuna watu nawafahamu familia nzima wamelazwa aga khan wana corona isipokua mtoto wao wa kwanza ambae yupo boarding, huyo mama ni family friend wetu na alinipigia kuniomba kwamba mwanae huyo aliopo boarding akifunga shule nikamchukue akae kwangu mpaka wao watakapopona ili asipate maambukizi...
Corona ipo Duniani kote Ndege zinakuja wageni wanakuja kinachowafanya Serikali kuongopa kuhimiza unawaji mikono kupaka vitakasa mikono ni nni? au Serikali inataka watu wafe kwa wingi ili wapate pesa za misaada kuzuia corona?Hivi ni vita vya kiuchumi je tufukuze mabeberu/
Corona ipo ingawa hofu ya kusema imetawala ndiyo maana Serikali wanaona wamese haipoCovid 19 IPO anaebisha nitamtumia dozi ninayo itumia saizi afu nimejitenga Niko lodge yapata wiki sasa kuepusha mambukizi ktk familia
Tatizo la Serikali hii ni kujaa washauri wa hovyo hata vya tahadhari hawataki, hebu fikiria kila siku kuna Ndege toka mataifa mbalimbali lakini Serikali hawataki kuhimiza hata kunawa mikono tu unategemea nini hapo? Siku Serikali wasikie corona ipo CHADEMA au ipo ACT utawasikia waanza kampeni ya kunawa mikono kupata vitakasa mikono na kuvaa barakoaInchi tumeikabizi kwa washamba, kila kitu kinajibiwa kwa majibu mepesi, imekuwa kama Tanzania inajitosheleza haiitaji uhusiano na inchi nyingine
Waje kukuletea list unawapa sanda na masanduku ya kubebea maiti?Kwenu wamekufa wangapi?
Kuipenda Nchi ni kujikinga kunawa mikono kujipaka vitakasa mikono ikibidi vaa barakoa siyo kupiga chafya kwenda chooni bila kunawa mikono kisha unawaambukiza watu UTI mafua na magonjwa mengine, hakuna Nchi inapendwa kwa kuambukizana magonjwa kizembe zembeYaani hapo Marekani washafeli...
Naipenda nchi yangu Tanzania.
Jihami kwani uoga ni silaha muhimu mno katika maisha
Ndiyo, ila kwangu cha muhimu kwanza ni kuiombea nchi yangu Tanzania.Kuipenda Nchi ni kujikinga kunawa mikono kujipaka vitakasa mikono ikibidi vaa barakoa siyo kupiga chafya kwenda chooni bila kunawa mikono kisha unawaambukiza watu UTI mafua na magonjwa mengine, hakuna Nchi inapendwa kwa kuambukizana magonjwa kizembe zembe