Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Kuna watu nawafahamu familia nzima wamelazwa aga khan wana corona isipokua mtoto wao wa kwanza ambae yupo boarding, huyo mama ni family friend wetu na alinipigia kuniomba kwamba mwanae huyo aliopo boarding akifunga shule nikamchukue akae kwangu mpaka wao watakapopona ili asipate maambukizi...
Jana nilikuwa Muhimbili Hospital hakuna cha Barakoa ama nini,acha uongo wako eti huruhusiwi kuingia hopitali ukiwa huna barakoa! Labda uko nje ya nchi.
 
Corona ni vita ya kiuchumi zaidi ya ugonjwa wenyewe

Corona ipo lakini haijaua kuliko magonjwa mengine, wanaitumia kujinufaisha zaidi ya ukweli wa hali

Hata EU wamewanyima raia wake visa za kuja huku isipokua pale penye ulazima tuu

Na hao raia wanaumia sana lakini hawaingii kwenye mitandao na kuanza kuwashambulia viongozi wao sababu kwao kanuni ni uzalendo kwanza.

Ila ukiongea nao mmojammoja kirafiki wanakuambia hii ni vita ya uchumi inayolenga kudidimiza uchumi wa watu na kupunguza idadi ya watu duniani. Na wanaumia sana

Wanasema Tanzania ni taifa pekee lililokataa kuingia kwenye huu mtego sababu tuu Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watanzania.

Ila Marekani wanafiki kweli kweli, wawaambie basi wapelelezi wao walio na maofisi huku pamoja na balozi wao waondoke ili wasife na CORONA
 
Hakika, Ukweli ni kwamba Ugonjwa wa Corona Tanzania upo na Maambukizi ni makubwa

Aga Khan na Muhimbili wagonjwa Wapo wengi sana..
Wewe haupo Tanzania, hebu tuambie pale Muhimbili wako Wodi gani hao wagonjwa wa Corona?
 
Kuna watu nawafahamu familia nzima wamelazwa aga khan wana corona isipokua mtoto wao wa kwanza ambae yupo boarding, huyo mama ni family friend wetu na alinipigia kuniomba kwamba mwanae huyo aliopo boarding akifunga shule nikamchukue akae kwangu mpaka wao watakapopona ili asipate maambukizi

I am even suprised kwa nini serikali hautuambii ukweli ili tuishi kwa tahadhari, ukitaka kujua TZ kuna Corona nenda hospitali yoyote uone kama utaruhusiwa kuingia bila kuvaa mask
Aiseee[emoji848]
 
If you dont write your history people will write for you!!

Ndicho kinachotutokea.

Kwasababu tulileta ubishi tukawa hatutoi takwimu. Sasa wanajisemea wanavyotaka.

Hii serikali kwan walishindwa nini kusema
"....tunawagonjwa 6 wa korona, kesho wanne, keshokutwa mmoja...then wameisha.."

Sasa ghafla tu eti yule mshamba wa magogoni anaelekeza viongozi waseme hakuna
 
Corona ipo lakini inaua kimya kimya
Hakuna corona we mpuuzi labda minyoo hiyo tunayo.

Timu ya taifa imeenda mpaka Algeria huko na hakuna mchezaji aliyepimwa akakutwa na corona, bado hamkubali kwamba maombi yana nguvu zaidi?
 
If you dont write your history people will write for you!!

Ndicho kinachotutokea...
Kwanini tutoe takwimu za corona tu wakati sisi kwetu siyo tatizo sana? Kwanini hatutoi takwimu za malaria kila siku kwenye vyombo vya habari?? Wakati malaria ndiyo tatizo zaidi kuliko Corona? Acha kufikiria kitumwa mkuu!
 
Ila kwenye vyombo vya habari nimesikia wakiongelea COVID-19 AKA BAWACHA-19 ni tatizo kubwa kweli kweli. Mpaka spika wa bunge kaingilia kati.
 
USA sio watalii wakubwa kwa Tanzania namaanisha hawaongozi
 
Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Marekani kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona....
Matokeo ya Ngurudoto hotel kuwa hostel watalii hawapo
 
Watu bana kamwe usipotezwe na kelele za watu macho unayo aki unayo, miguu unayo wewe ndio shahidi wako, nilikua na mpolish mmoja jana tulizunguka maeneo mengi na ya uswahilini, alipiga picha nyingi mnoo alikuwa anapena mikono na watu na mpiga picha zero distance na watu

Sikumuuliza mpaka tunamalkza ile tour fupi mwisho ndo tukazungumzia corona, akasema kama ingekua ipo na viongozi wakafake kwa ule muda wa miezi yote basi hadi maiti zingekua zinazika maiti zenzie,

Watu huongeza chumvi ktk maneno ,ww huna lengo la kwenda ulaya hofu ya nn, wale walitaka tupewe chanjo ya majaribio ilo wamsfail
 
Hawa mabeberu washenzi sana ,Tanzania tumeishinda korona kwa maombi tuliyofanya na usubutu waRaisi wetu jpm ,,
Sawa Kaka na kwa uthubutu uleule wa Rais JPM atafanya maombi kufikia malengo ya budget kwa kodi zetu za ndani ...

Nakwambia safari hii mpaka kufikia July 2021 akijifanya Jiwe kweli mbona maji tutaita m'ma
 
TANZANIA HAKUNA CORONA EBU ANGALIA TEAM ZETU ZINAENDA NJE YA NCHI KUCHEZA ZINAPIMWA HAKUNA MWENYE CORONA HAPO NDIO UJUE MUNGU YUPO PAMOJA NASI
 
Back
Top Bottom