Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Hilo ndio jibu la wangapo hapo kwenu wamekufa?Waje kukuletea list unawapa sanda na masanduku ya kubebea maiti?
Hilo ndio jibu la wangapo hapo kwenu wamekufa?Waje kukuletea list unawapa sanda na masanduku ya kubebea maiti?
Kwani hao virusi unafikiri hawajawahi kufika hapa tz?Wasi wasi wangu ni kwamba hawa jamaa wanaweza wakatuletea virus hata kwenye bidhaa mbali mbali ili kutukomoa
Nyie ndio wapumbavu wachache kwahiyo kwenye nchi kuwepo watu 2 au 3 wenye akili kama zako haina shidaIf you dont write your history people will write for you!!
Ndicho kinachotutokea....
Watalii toka Chato ndo wanaongoza kwa Tanzania labda sasa USA watakuja Burigi National Park kupitia Chato International Airport.USA sio watalii wakubwa kwa Tanzania namaanisha hawaongozi
Wewe unayo?Tanzania kuna Corona au haipo?
Uchochezi!Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Marekani kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona...
Ss kama hospital hawasemi, radio hazitangazi na ww huna unayemjua aliyekufa na corona umehitimisha vipi kuwa corona inaua watu ila haisemwi? Au marekani kakwambia?Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?
What a foolish reply.Wewe unayo?
Hayo matangazo hayajaanza leo na watu toka huko wanakuja kama kawaidaHili tangazo litafika hadi Ulaya na hivyo tutarajie watali kutoka Ulaya nao kutokuja nchini.
Kiburi si maungwana-Waswahili.
Umesikia hoteli ya Ngurudoto imefungwa kwa kukosa wageni/watalii na Covid ikiwa ni moja ya sababu?Hayo matangazo hayajaanza leo,na watu toka huko wanakuja kama kawaida
Sekta ya utalii imeyumba dunia nzima bro kutokana na janga la coronaUmesikia hoteli ya Ngurudoto imefungwa kwa kukosa wageni/watalii na Covid ikiwa ni moja ya sababu?
Kusikia kwa kenge ni mpaka damu zimtoke masikioni.Sekta ya utalii imeyumba dunia nzima bro kutokana na janga la corona
Ss kama hospital hawasemi, radio hazitangazi na ww huna unayemjua aliyekufa na corona umehitimisha vipi kuwa corona inaua watu ila haisemwi? Au marekani kakwambia?
Wewe una ndugu wangapi waliokufa kwa corona au hapo mtaani kwenu una majirani wangapi waliokufa kwa coronaCorona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli