Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Wapi nimesema kuwa Corona inaua watu ila haisemwi?Mimi nimeuliza swali,Tanzania Corona ipo au haipo?
HAPANA. KWA KUMBUKUMBU ZANGU kuna sehemu umesema ipo na watu wanakufa ila haitangazwi, kisha ukaulizwa una ndugu aliyekufa kwa corona? Ukajibu ni lazima ndugu age kwa corona ndo ithibitike kuwa IPO? Ndo na mm nikakujibu nilivyokujibu.
 
Sijasema mahali popote kuwa corona ipo na haitangazwi,labda uweke screenshot hapa.

Umejuaje kuwa hakuna Corona Tanzania wakati vipimo havifanyiki?
 
Kumbe alisema sasa unachouliza ni nini wakati jibu unalo?!?

Wewe Bavicha bure kabisa!
Kwani Rais kutamka tu kwa mdomo kuwa nchi yake haina Corona bila kufanyika vipimo vyovyote vile, hilo linahalalisha na kuthibitisha kuwa Corona haipo katika nchi hiyo kisa ni Rais katamka tu kwa mdomo kuwa haipo?
 
Huu sasa utakuwa "wivu" kutoka USA. Yaani hawaamini kabisa kwamba inakuwaje kwao wana average 161,000 daily new positive cases and at least 2,000 COVID19's related deaths a day na sisi tu tunadunda tu?

Corona huwezi kuificha na ni kama kipindupundu tu. Haifichiki. Hata kama hatuweki figures hadharani (maana tunapima), hali yetu na yao vimepishana kwa mbali mno na walipaswa waje kufanya study huku kuona inakuwaje COVID19 haitushughulikii to that extent
 
Sijasema mahali popote kuwa corona ipo na haitangazwi,labda uweke screenshot hapa.

Umejuaje kuwa hakuna Corona Tanzania wakati vipimo havifanyiki?
Anyways tusibishane maana inawezekana kufuta pia. All in all sifahamu MTU yoyote mwenye matatizo yanayopelekea kuwa na viashiria vya corona. Labda kama dalili zimebadilika.

Makondakta wangeongoza kufa maana kila siku wapo na watu mbalimbali.
 
Kenya ijawai kuwa ya kwaza africa kuleta watalii tanzania sema watalii wanakuja tanzania kupitia kenya!!! Kwa sababu hao watalii sio wakenya.
 
Anyways tusibishane maana inawezekana kufuta pia. All in all sifahamu MTU yoyote mwenye matatizo yanayopelekea kuwa na viashiria vya corona. Labda kama dalili zimebadilika...
Wewe mtu mmoja kutokumfahamu mtu yoyote mwenye matatizo yanayopelekea kuwa na viashiria vya corona inahalalisha na kuthibitisha kuwa Tanzania nzima hakuna Corona?
 
What a foolish reply....
Na kwanini nyie mnapenda uwepo huo ugonjwa na kwa manufaa ya nani?

Na kwa maelekezo ya WHO unatakiwa kuvaa barakoa na kuchukua tahadhali, na kwa nchi yetu ni hiyari.

je wewe unavaa ili kujikinga au mpaka ulazimishwe?

Kama hujavaa barakoa na kuchukua tahadhali wakati una amini corona ipo basi wewe ni sawa na punda tu huwezi kwenda kwa akili yako mpaka kwa mijeredi.

Akiri zenu ni sawa na nyumbu tu.
 
Wewe mtu mmoja kutokumfahamu mtu yoyote mwenye matatizo yanayopelekea kuwa na viashiria vya corona inahalalisha na kuthibitisha kuwa Tanzania nzima hakuna Corona?
Ndio. Mm MTU mmoja pamoja na serikali ilishatangaza kuwa tumeishinda vita ya corona inatosha kuhalalisha na kuthibitisha kuwa hakuna corona. Unless taasisi ya serikali au serikali itangaze kuwa tuna tatizo la corona na mm mtu mmoja nishuhudie madhara au wagonjwa wakiwa na corona ndipo nitakapohitimisha vinginevyo. Kwa sasa shughuli zangu zinaendelea kama kawaida bila woga wa uwepo wa corona.
 
Serekali wamejuaje kuwa wameshaishinda vita ya Corona wakati hawapimi watu?
 
Kuna watu nawafahamu familia nzima wamelazwa aga khan wana corona isipokua mtoto wao wa kwanza ambae yupo boarding, huyo mama ni family friend wetu na alinipigia kuniomba kwamba mwanae huyo aliopo boarding akifunga shule nikamchukue akae kwangu mpaka wao watakapopona ili asipate maambukizi

I am even suprised kwa nini serikali hautuambii ukweli ili tuishi kwa tahadhari, ukitaka kujua TZ kuna Corona nenda hospitali yoyote uone kama utaruhusiwa kuingia bila kuvaa mask
Muhimbili ilikuwa hupiti pale getini bila mask na kupiga sanitizer na ukitoka hivyo hivyo ila sasa hakuna tena huo utaratibu unaingia tu.
 
Back
Top Bottom