Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
We unaongelea nini?Upimaji wa nini?
We unaongelea nini?Upimaji wa nini?
Tangu tupuuze maagizo yao ya kikuda, hizo siku 14 zao hazijapita tu🤔?Njia sahihi ya kujua kama kwenye nchi kuna ugonjwa fulani ni kwa kusubiria watu wafe kwa ugonjwa huo au ni kwa kupima watu ugonjwa huo?Kwani Tanzania si kuna ukimwi?Ni watu wangapi umeshuhudia wakifa kwa ukimwi?
Sasa utapima ugonjwa ambao haupo?
Kama unajiona una dalili za Corona nenda hospital utapimwa shida ipo wapi?.
Mimi Ni mzima wa afya siwezi kuhangaika kwenda hospital kupima corona utakuwa ni uchuro.kama Corona ipo tutaiona tu.
Watu wataumwa ,watu watazidiwa,na wengine watakufa Ila kwa sasa HAMNAA CORONA.
Kwahiyo sie watanzania ndio tuna kinga imara sana kuliko majirani zetu au hao wazungu?Corona bado ipo Sana tu.....na sio lazima mtu akiwa na corona lazima afe.... Wengine kwa sababu ya uimara wa Kinga mwili zao Wanakuwa ni wabebaji tu wa virusi...na kuwaambukiza wenye kinga hafifu..,..tumeshuhudia watu wengi hasa wacheza mpira kukutwa na corona huku wakiwa hawana dalili moja....lakini je inakuaje nchi majirani zetu corona ipo kwetu ikosekane.
Unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa natamani Corona iwepo?Tangu tupuuze maagizo yao ya kikuda, hizo siku 14 zao hazijapita tu[emoji848]?
Naona watu mnaumia Sana juu ya Hili swala.Mnatamani Sana corona iwepo, Hiyo covid-19 ikirudi naomba ipite na ukoo wako kwanza.
Nendeni marekani mkapimwe hiyo corona.Hapa Tanzania hatuendekezi huo ujinga.We unaongelea nini?
Nakushangaa kuniuliza habari za sample za upimaji inaonesha labda hujaelewa nilichokieleza.We unaongelea nini?
Naona mnaishadadia sana, oooh corona ipo...Corona ipo, ipite kwanza na ukoo wako Ili tuamini.Unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa natamani Corona iwepo?
balozi wao mwenyewe havai barakoa ,washatengeneza machanjo yao ya covid kupunguza watu duniani...wanajua watapoteza credibility ikionekana Tanzania tumeweza ushinda ugonjwa...dawa kumpa mbwa jina baya kabla hujamuuaTangu tupuuze maagizo yao ya kikuda, hizo siku 14 zao hazijapita tu🤔?
Naona watu mnaumia Sana juu ya Hili swala.Mnatamani Sana corona iwepo, Hiyo covid-19 ikirudi naomba ipite na ukoo wako kwanza.
Swali la msingi liko pale pale: Je balozi kutovaa face mask kwenye gathering na Balozi kuonyesha kwamba ana amini kwamba maabukizi ya corona nchini ni almost negligible, inahalalisha na kuthibitisha kuwa Tanzania maambukizi ya Corona ni negligible?Please revisit my comments - I said "almost negligible" does that sound Greek to you?
Sisi Kutofuata Maelekezo ya WHO ya kutotangaza takwimu ndio kipimo chako cha uwepo wa corona?Unaelewa kuwa Tanzania ilisaini mikataba ya WHO na ni mwanachama wa WHO na WHO walitoa miongozo jinsi ya kupambana na Corona na miongoni mwa miongozo hiyo ni kufanya mass testing kisha kutangaza matokeo?Tanzania inafanya hivyo?
Sasa kama mnalazimisha uwepo wa corona Tz na wakati haipo, inatakiwa ipite kwanza na ukoo wako wote, Ili na sisi tuamini kuwa ipo.Mpuuzi wewe
Ukoo wangu unakusaidia nini?Sasa kama mnalazimisha uwepo wa corona Tz na wakati haipo, inatakiwa ipite kwanza na ukoo wako wote, Ili na sisi tuamini kuwa ipo.
👉Vinginevyo ni propaganda tu.
Watu wapo ninaojua wamekufa kwa ukimwi na nina hadi ndugu aliyekufa kwa ukimwi. Lakini pia tofauti ukimwi mtu anaweza kuwa nao na akaishi miaka na miaka huku akiwa ni mwenye afya wala usimjue,ninao ndugu wenye ukimwi wala huwezi kuwajua.Njia sahihi ya kujua kama kwenye nchi kuna ugonjwa fulani ni kwa kusubiria watu wafe kwa ugonjwa huo au ni kwa kupima watu ugonjwa huo?Kwani Tanzania si kuna ukimwi?Ni watu wangapi umeshuhudia wakifa kwa ukimwi?
Wapuuzi tu, umasikini ndo unawasumbua 😂. Yani yanatamani corona iwepo Tz,Ili yapate cha kuzungumzia kwenye siasa zao za kijinga.balozi wao mwenyewe havai barakoa ,washatengeneza machanjo yao ya covid kupunguza watu duniani...wanajua watapoteza credibility ikionekana Tanzania tumeweza ushinda ugonjwa...dawa kumpa mbwa jina baya kabla hujamuua
Wewe unavaa barakoa kila Unapenda? Mtaani kwenu watu wanashinda na barakoa? Kwenye Ile mikutano yenu ya kampeni, mlienda mkiwa na barakoa?
Kwenye mechi za mpira watu wanaingiza na barakoa?
👉Tangia tuyapuuze maagizo yao Sasa ya pita miezi 5, kwakuwa covid-19 inaanzia kuonyesha makali yake baada ya siku 14,nilitegemea kuona maiti nyingi Sana mabarabarani, au hospitali zetu zulemewe na wagonjwa wa covid-19, Ila sioni.Wao kama wanakufa kwa covid-19 safe tu😂😂.
Uko wako uwe sample (specimen).Ukoo wangu unakusaidia nini?
Anza na mama akoUko wako uwe sample (specimen).
Unauliza utapimaje ugonjwa ambao haupo?Umejuaje kuwa haupo wakati hakuna vipimo vinavyofanyika?
Unavyosema kuwa wewe ni mzima huwezi kwenda hospitali kupima kwani ni ajabu mtu mzima ambae haumwi kwa mfano kwenda hospitali kupima HIV?Kwa hiyo ili mtu aende hospitali kupima HIV ni lazima awe anaumwa?
Mbona ukimwi upo na hatuoni watu wakiumwa,wakizidiwa na wengine kufa? kama unavyodai kuwa Corona ingekuwepo tungeshuhudia watu wakifa,kuzidiwa na kulazwa
kijana ukishikwa pabaya unamaneno makali kumbe...sikia nyie wapinzani ni kama toilet paper au condom..Amsterdam akimalizana na nyie ataamia kwa mwengine....shame mnashadadia corona wakati hapo kimbelembele kwe daladala umebanana kwanini usijifungie ndaniMpuuzi wewe