Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Sio kuwa "inaua kimya kimya", bali imepigwa marufuku isitangazwe kuwa inaua.
Basi sio tu wametangaza bali wamezuia hata hizo athari za corona kuonekana kwenye jamii,maana maradhi huwa hayafichwi hivyo tungeona tu athari za corona.
 
kijana ukishikwa pabaya unamaneno makali kumbe...sikia nyie wapinzani ni kama toilet paper au condom..Amsterdam akimalizana na nyie ataamia kwa mwengine....shame mnashadadia corona wakati hapo kimbelembele kwe daladala umebanana kwanini usijifungie ndani
Nimekutukana tusi kubwa sema sijaliandika hapa
 
Wiki iliyopita kuna mmarekani amefariki Zenji. Sijua kama wameshamsafirisha lakini huenda ndiyo amefanya watoe hii tahadhari kwani mazingira aliyofariki yana-point kwenye covid
Kusingekuwa na corona duniani hayo mazingira aliyofariki yangehusishwa au kuhisiwa na gonjwa gani lengine?
 
Well said, tatizo hapa kuna Watanzania wengine ni argumentative by default - looking back now nimebaini kwamba wengi wao wanachukulia COVID-19 pandemic kama fimbo ya kuwananga viongozi nchini - ni hilo tu mkuu mambo mengine wanachapia tu - mtabishana usiku kucha wanajifanya hawajui ukweli ni UPI - lakini ukisema Dk.Magufuli kashindwa ku-deal na COVID-19 effectively members wengi wa JF wataku- support!!
Waliowengi wanaujua ukweli,basi tu wanashupaza shingo zao.
 
Wapuuzi tu, umasikini ndo unawasumbua 😂. Yani yanatamani corona iwepo Tz,Ili yapate cha kuzungumzia kwenye siasa zao za kijinga.

Spot on - hilo ndilo lengo lao kuu, namely: kunanga uongozi wa Dk.Magufuli!!
 
Hatua tuliyoichukua dhidi ya Corona ya kujitoa ufahamu ilikuwa na Matunda ya muda mfupi tu ila in a long run itatuumiza, sijui wale wanaowaita wenzao ni short sighted kama nao huwa wanajihoji uwezo wao wa kuona mambo
Yani kwamba tunaumwa na kuzika ndugu zetu ila tunajipumbaza kuwa hakuna corona?
 
Nimekutukana tusi kubwa sema sijaliandika hapa
ah ah wazee wa ufipa mkishakunywa bapa na mwenyekiti huwa mnavurugwa sana...kanywe supu..halafu nenda twitter kamlike amsterdam mme wenu
 
Anza na mama ako
Mimi na ukoo wangu wote tunaamini kuwa hakuna covid-19 hapa Tanzania.Kwakua wewe unapayukapayuka humu kuwa covid-19 ipo,basi mimi nimechagua kuwa wa mwisho kuamini mpaka pale ukoo wako wote utakapoteketea kwa corona.

👉Ili unapoongelea uwepo wa covid-19 Tz isiwe kinafiki,uongee kutokana na kitu kilicho kugusa moja kwa moja.
 
Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Una ndugu yako imemuua au madamu unapost tu. Ukimtukuza Mungu kwa kuiponya nchi unafikiri utamuongezea kitu.
 
Yani kwamba tunaumwa na kuzika ndugu zetu ila tunajipumbaza kuwa hakuna corona?
Wamezikwa watu hata kabla ya uwepo wa hiyo covid-19,na wataendelea kuzikwa.Hata wewe na mimi ipo siku tutazikwa tu.
 
Juzi hapa nilimuona Balozi wa Marekani nchini Tanzania alikuwa anazungumza kwenye sherehe bila ya kuvaa face mask - what does that tell you?

Hivi inaingia akilini kwamba Serikali ya USA inajuwa vizuri kinachojiri nchini Tanzania kuliko Balozi wao!!
Hata Marekani wakati wa kuhutubia hawavai mask, akili yako ndogo sana.
 
Corona ipo inaua kimya kimya na watu hawasemi kwa hofu ya kutengwa na jamii
Jamii ipi? kwa sababu kama jamii inaamini hakuna corona wewe unaanzaje kusema kuwa wanahofia jamii itawatenga?
 
Tumempoteza ndugu yetu juzi pale Aga Khan, vipimo kutoka maabara kuu vinaonesha ni hiyo kitu. ameacha mtoto wa 7 mon
Alikuwa anasumbuliwa na maradhi mengine au ndio ilikuwa corona tu pekee?
 
Hata Marekani wakati wa kuhutubia hawavai mask, akili yako ndogo sana.
Yule bwana wenu alikuja na barakoa kubwa Kama bakuli lakini amezunguka nchi bila hilo bakuli mdomoni mpaka siku ile anakimbia kwenda ilipo kaliweka tena.
 
Timu zetu zimekwenda kucheza match za kimataifa umesikia kuna Mgonjwa wivu utakuua endelea.
Kamanda shana kafa kwa Corona, Madaktari wote wa Mbagala Rangi tatu wamekufa na Corona! Manesi ndo kabisaaaa!
 
Mlianzia Lissu Rais, mkaja Znz hakutatawalika mkaenda mbali zaid maandamano nchi nzima mkaja jumuiya ya ulaya imetoa tamko na leo mabeberu wasema imekataza raia wake kuja tz, ni aibu sana kwenu maana kila jambo linafeli.Magu chaguo la watanzania mmebaki kua wapiga ramli kama waganga wa kienyeji.shame upon you
 
Kwani HIV na Corona Ni sawa?.
Kuna mfanano.Corona haisumbui sana vijana,yaani vijana wao ni kama wabebaji tu.Vijana wanaweza kuwa na maambukizi lakini wasionyeshe hata dalili, lakini wanaweza wakaambukiza watu wengine.Kwa hiyo ni vyema watu kwenda kupima hasa vijana hata kama hawaumwi ili wakikutwa wako postive wajitenge ili wasiambukize watu wengine hasa wazee na watu ambao wana magonjwa mengine ambao ndiyo victim wakubwa.Kwa hiyo katika hili kuna umuhimu wa kwenda kupima hata kama hauumwi.
 
Back
Top Bottom