Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

America wajinga sana.hata kama ni infectious disease wasingewazuia watu kuja.hapo ni KUkiuka yaki za binadamu

Tumwambie pia kuwa siyo Corona tu bali kuna

1.HIV
2.malaria
3.TB
4.diarrhea
5.cancer
7.pneumonia
8.diabetes mellitus

9.leprosy
10.etc
 
Hakika, Ukweli ni kwamba Ugonjwa wa Corona Tanzania upo na Maambukizi ni makubwa.

Aga Khan na Muhimbili wagonjwa Wapo wengi sana.

Two weeks ago rafiki yangu amefiwa na Mzazi wake na ndugu kadhaa Sasa wamelazwa Aga Khan kwa sababu ya Corona baada ya kuwa karibu na Marehemu.

Ujinga wa Mjinga mmoja usikuaminishe kuacha kuchukua tahadhari.

CORONA IPO NA INAUA, LAKINI INAZUILIKA UKIWA MAKINI.
we ni matcle tu ndugu yangu, unaongea pumbaa tu hapa
 
Sasa Kama hapa TANZANIA watu wanaugua na kupona Corona shida ipo wapi?
Unaelewa kuwa dalili pamoja na vifo vya Corona vinatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kutegemeana na umri wa mtu,magonjwa mengine aliyo nayo mtu,hali ya unene na wembamba wa mtu,kiwango cha kinga za watu,e.t.c?Unaelewa kuwa kuna watu wengi sana wanapata Corona lakini hawaonyeshi dalili zozote zile hadi wanapona wenyewe bila ya kutumia dawa yoyote ile?
 
Sasa Kama hapa TANZANIA watu wanaugua na kupona Corona shida ipo wapi?
Hivi unasoma ninachoandika au unafanya makusudi?!Nimesema wanaoambukizwa na kupona kwa wingi ni vijana lakini wazee,watu wagonjwa,watu wenye kinga ndogo,etc ni ngumu kupona ukilinganisha na vijana kisha nikasema ni muhimu kila mtu kupimwa ili kama atakuwa postive ajihadhari kuambukiza makundi ya watu ambao ni victim zaidi kama vile wazee,watu wenye magonjwa mengine,watu wenye kinga ndogo,e.t.c
 
Sasa hao wazee wanaokufa na Corona Tanzania wapo wapi?
Hivi unasoma ninachoandika au unafanya makusudi?!Nimesema wanaoambukizwa na kupona kwa wingi ni vijana lakini wazee,watu wagonjwa,watu wenye kinga ndogo,etc ni ngumu kupona ukilinganisha na vijana kisha nikasema ni muhimu kila mtu kupimwa ili kama atakuwa postive ajihadhari kuambukiza makundi ya watu ambao ni victim zaidi kama vile wazee,watu wenye magonjwa mengine,watu wenye kinga ndogo,e.t.c
 
Sio kwamba sisi tunakinga imara kuzidi wenzetu....kuna watu wanahoji kama kuna korona Kuna ndugu zako wangapi wameishakufa...hoja yangu ni kwamba kuwa na korona sio lazima ufe...kuna watu Wana virusi vya korona na Wala hawahisi hata kuumwa hii ni kwa sababu ya Kinga zao imara.... lakini ukichukuwa kipimo ukawapima utawakuta na virusi....hata hao majirani zetu na wazungu ripoti zao nyingi za maambukizi zinatokana na kupima...hawasubiri mtu augue ndio wampime...lengo ukingundulika wakutenge usiendelee kusambaza kwa ambao hajaambukizwa.
Wanauliza hivyo kwa sababu huu ugonjwa unajulikana ni hatari,kwahiyo hata hao waliyokuwa kwenye makundi hatarishi na hii corona kwa maana wenye kinga zaifu kama wazee na wengine basi tungeona wakiuguwa kwa wingi au kufa.
 
Hapo wametumia trick ya kwamba kuna corona lakini kutakuwa na jambo nyuma ya pazia.
 
Hivi unasoma ninachoandika au unafanya makusudi?!Nimesema wanaoambukizwa na kupona kwa wingi ni vijana lakini wazee,watu wagonjwa,watu wenye kinga ndogo,etc ni ngumu kupona ukilinganisha na vijana kisha nikasema ni muhimu kila mtu kupimwa ili kama atakuwa postive ajihadhari kuambukiza makundi ya watu ambao ni victim zaidi kama vile wazee,watu wenye magonjwa mengine,watu wenye kinga ndogo,e.t.c
Sasa je we umeona ongezeko la vifo kwa wazee kwa wakati huu ili ndio tuweze kujua kuwa itakuwa ni corona?
 
Hii umeiweka vizuri sana, kiasi kwamba haipingiki.

Sasa nikuombe msaada kama unaweza: hebu eleza ni nini hasa kilichotokea hadi COVID-19 ikawa haionyeshi madhara, sio hapa kwetu tu, na hata nchi nyingine hapa Afrika.

Huu ndio mjadala unaotakiwa kujadiliwa.
Hili ndilo jambo muhimu zaidi wanasayansi wetu wangekuwa wanalitafutia majibu kwa nguvu zote.

Tzmbongo: usidhani sijui msimamo wako, kwani tumejibizana mara kadhaa hapa jamvini.
Kuzuia kupima na kutangaza waathirika ni sehemu ya kuizuia COVID-19 isienee?
Wakati ule tunapima na kutangaza matokeo hali ilikuwa inaonekana inazidi kuwa mbaya,sasa je ili hali mbaya iliyokuwa ikizidi kila ndio ilitoweka baada ya kuacha kupima corona na ndio maana hatuoni madhara Au ile hali iliendelea kuzidi na bado inaendelea hasa ukizingatia tumeacha taritibu za kujikinga na corona?
 
Hata Marekani wakati wa kuhutubia hawavai mask, akili yako ndogo sana.
Yule bwana wenu alikuja na barakoa kubwa Kama bakuli lakini amezunguka nchi bila hilo bakuli mdomoni mpaka siku ile anakimbia kwenda ilipo kaliweka tena.
Kamanda shana kafa kwa Corona, Madaktari wote wa Mbagala Rangi tatu wamekufa na Corona! Manesi ndo kabisaaaa!
Acha upotoshaji maana hutaambulia chochote
 
Yule bwana wenu alikuja na barakoa kubwa Kama bakuli lakini amezunguka nchi bila hilo bakuli mdomoni mpaka siku ile anakimbia kwenda ilipo kaliweka tena.

Acha upotoshaji maana hutaambulia chochote
Naelimisha Mkuu!! sipotoshi! Hatuna Bwana sisi kwa sababu hatujaolewa, Na wala hatujawahi sikia hizi habari wala kuwazia! ndo kwanzaa nasikia kwako; En heee!

Wenzetu huko Lumumba mna mengi kumbe mna Mabwana zenu huko? ndo maana mnaimba sana ee! sisi hatuna Shekhe!

aaah te! tete! Mtasema mengi Mpaka mlivo haribiwa, ndiyo maana huyu jamaa roho yangu haimtaki kumbee ndo kazi yake Walahi ! lazima afunguliwe Kesi ya ubakaji Plus mauaji huu ni ushahidi humu umetusaidia sana..

lkn ukifika jioni bila kukanusha ni kweli.
 
Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Kwa mfano toka mwezi wa kumi. Una ndugu au marafiki wangapi wamekufa kwa korona?
 
OK nimekuelewa, kwa hiyo Unapromote kuwa nchi uliyopo ina corona, hakuna unayemfahamu mwenye nayo, Wewe pia hujaipata na huchukui hatua yoyote kujikinga.

Kukosekana mtu ninaemfahamu ambae ana Corona inathibitisha na kuhalalisha kuwa Tanzania hakuna Corona?Mbona sifahamu mtu hata mmoja ambae ana HIV,hii inahalalisha na kuthibitisha kuwa Tanzania hakuna HIV?

Mimi kutoipata Corona na kutokuchukua hatua yoyote ya kujikinga dhidi ya Corona inathibitisha na kuhalalisha kuwa Tanzania hakuna Corona?Mbona kule Marekani kuna watu wengi sana hawana Corona na hawajikingi dhidi ya Corona,hii inathibitisha na kuhalalisha kuwa kule Marekani hakuna Corona?
 
Brother kumbe wewe ni mweupe kichwani hivi?
Unaweza je kufananisha Corona na HIV?
 
Brother kumbe wewe ni mweupe kichwani hivi?
Unaweza je kufananisha Corona na HIV?
Point yako ni nini labda?Unataka kuhalalisha ya kwamba kwa sababu hakuna mtu ninaemfahamu mwenye Corona basi hii inathibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona kama huyo jamaa anavyodai?
 
Huu ni uchuro ambao hauna tija,habari za korona tushasahau,wamarekani wapambane na hali yao
Hahahha wapambane na hali zao au sisi, wafikir hiyo kauli ni nzuri kwetu?? Kwasisi tunaotegemea uchuni toks kwa watalii?? Kama USA kasema hvyo unategemea nini kwa nchi za ulaya. We are totally doomed as a nation na pia kuwa na mtu anayewaza wa aina yako.
 
Back
Top Bottom