eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,807
- 16,477
Tanzania kuna Corona au haipo?
IPO lkn madhara yake si makubwa. Less serious cases, less fatality.
Tanzania kuna Corona au haipo?
Hakuna wanafiki kama mabalozi, unacheka naye.na.kula naye lakini anachopeleka nchini kwa ni tofautiJuzi hapa nilimuona Balozi wa Marekani nchini Tanzania alikuwa anazungumza kwenye sherehe bila ya kuvaa face mask - what does that tell you?
Hivi inaingia akilini kwamba Serikali ya USA inajuwa vizuri kinachojiri nchini Tanzania kuliko Balozi wao!!
Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Kwa nini madhara yake yawe madogo ukilinganisha na nchi nyingine kama vile Kenya au Uganda?IPO lkn madhara yake si makubwa. Less serious cases, less fatality.
Corona ipo lakini inaua kimya kimya
Nadhani waafrika tunauana wenyewe kwa wenyewe kwa kiwango kikubwa kuliko wazungu wanavyoua waafrika.Watu kama Nyinyi hamfai hata kukaa nasi mtu unaemshabikia mzungu anae ua mtu mweusi ambao ukiuliza wanatetea juu kwa juu unakosea mkuu
Kwa nini madhara yake yawe madogo ukilinganisha na nchi nyingine kama vile Kenya au Uganda?
Tanzania tumeishinda korona kwa maombi tuliyofanya na uthubutu wa Rais wetu JPM.
Hamia huko kwa wazungu kabisa!
Hakuna wanafiki kama mabalozi, unacheka naye.na.kula naye lakini anachopeleka nchini kwa ni tofauti
Kwani kabla ya korona watu walikuwa hawafi?Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Naelewa kwamba wewe huwezi thibitisha uwepo wa corona ila unapromote uwepo wa corona, huna corona, humfahamu mtu mwenye corona wala hujikingi na corona.Unaelewa kuwa mimi kutokuwa na Corona,kutokujikinga na Corona na kutokumjua mtu ambae ana Corona haithibitishi wala haihalalishi kuwa Tanzania haina Corona?
Kwani huu ugonjwa upo kwenye kupima tu?kwa sababu kama huu ugonjwa ni hatari kama tulivyoelezwa na jinsi unavyoambukiza basi Tz tungetakiwa tunaona athari za huu ugonjwa hata kama hatupimi,lakini kama sasa hatuoni madhara sasa tukipima ndio wagonjwa watajitokeza ama vp?Kwa Kenya hawakuomba! MUNGU ni mmoja na majirani zetu wanaoonekana kutaabika na COVID19 walimuomba Mungu huku wakiendelea kupima. Sisi hatupimi kwa hiyo hatuwezi kuthibitisha kuwa COVID19 haipo!
Kwani kuna sehemu umeniuliza kwa nini nasema kuwa Tanzania kuna Corona nikashindwa kukujibu?Au kuna sehemu umehitaji ushahidi nikashindwa kukupa?Naelewa kwamba wewe huwezi thibitisha uwepo wa corona ila unapromote uwepo wa corona, huna corona, humfahamu mtu mwenye corona wala hujikingi na corona.
NAELEWA KWAMBA UKIPATA USHAHIDI WA UWEPO WA CORONA UNGEUTUMIA KAMA EVIDENCE KATIKA PROMOTION ZAKO ILA MPAKA SASA HUNA.
Kuna tofauti gani kati ya kuwa na majibu na kuwa na ushahidi?Kwani kuna sehemu umeniuliza kwa nini nasema kuwa Tanzania kuna Corona nikashindwa kukujibu?
Wapi umehitaji ushahidi nikashindwa kukupa?Kuna tofauti gani kati ya kuwa na majibu na kuwa na ushahidi?
Huna ushahidi, serikali yako haijaweka wazi kuhusu vipimo, huna corona, humjui mwenye corona, hujikingi na corona.Wapi umehitaji ushahidi nikashindwa kukupa?