Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Huna ushahidi, serikali yako haijaweka wazi kuhusu vipimo, huna corona, humjui mwenye corona, hujikingi na corona.
Unaelewa kuwa kitendo cha Tanzania kuchukua hela za WHO kiasi cha zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na COVID-19 ni moja ya shahidi kuwa Tanzania ina Corona?
 
Nchi zote za Afrika mashariki zimeandikiwa hii advisory kasoro Rwanda tu.
 
Wakati ule wa mwanzoni bado tunapima na kutoa takwimu ilikuwa inaonekana hali ni mbaya na inazidi,ila tukaacha kupima na tokea hapo kadri siku zilivyozidi kwenda watu wakawa wanaacha kuzingatia taratibu za kujikinga na corona na tukarudi kuishi maisha yetu kabla ya corona hadi sasa watu wanaamini corona ilikwisha Tanzania.

Sasa nachouliza ile hali ya corona iliyokuwa ikizidi kuwa mbaya iliisha na ndio maana sasa watu hawaoni madhara ya corona au ile hali inaendelea hadi sasa ila hatuoni madhara?
"Hatuoni madhara" na wala hatujui hali ipoje kwa vile tu hatuoni wanaoathirika!
Na kwa nini hatuwaoni, ni kwamba hawapo wanaoathirika?

Sema bahati yetu Afrika, COVID-19, kwa sababu zisizofahamika imekuwa hafifu zaidi kuliko huko kwingine.
Sisi hapa tunajisifu kana kwamba ni peke yetu ndio tuliosikilizwa na Mungu, na kumfanya kama mali yetu.

Hapo Kenya, ni wangapi wameambukizwa hadi sasa na wangapi wamepoteza maisha? Unaweza kusema idadi hiyo kwa muda huo inatikisa sana taifa? Unadhani sisi namba yetu ni tofauti sana na hiyo ya Kenya? Sisi hatujui, wao wanajua kwa vile wanafuatilia, sisi tulighairi.
 
Kwanini unaona afrika covid 19 imekuwa hafifu kuliko kwengine? Umetumia ni nini kujua hali ya covid19 huku afrika ni hafifu tofauti na huko kwengine?
 
Unaelewa kuwa kitendo cha Tanzania kuchukua hela za WHO kiasi cha zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na COVID-19 ni moja ya shahidi kuwa Tanzania ina Corona?
Kwani ww hujamsikia raisi wako? Tulipambana na covid na tukaishinda. Au tafsiri yako ya Kupambana na covid ni nn?
 
Wewe mwenye akili kubwa,corona imeshapita na mtu wako yoyote wa karibu? Au unabweka tu hapa.
Kuna mtu mkubwa sana ana mashavu mapana na kipara, kafa kwa korona, na yule mzee mwenye blich la kikongo mdogo wake kafa kwa korona na korona ipo vyombo vya usalama vinajuwa na records wanazo.
 
Yule bwana wenu alikuja na barakoa kubwa Kama bakuli lakini amezunguka nchi bila hilo bakuli mdomoni mpaka siku ile anakimbia kwenda ilipo kaliweka tena.
Kwakuwa umezoea kubokolewa basi ndio umekariri ni lazima kila mtu awe na bwana?

Sisi ni mabeberu kazi yetu ni kuwazalisha kima kama wewe.
 
Tupe idadi basi wewe unayejua waliokufa na corona mkuu. Sisi tunasema corona haipo ya kutisha wanaokufa na malaria ni wengi kuliko hao wa corona.
Kama Maralia inauwa wengi kwa nini tusifanye maombi ya wiki tuimalize?

Mnaona utapeli wenu?
 
Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Tanzania ina wapuuzi kupita nchi yoyote ulimwenguni na hii ndo maana ya research ya unafiki kuwa wa juu, unaijua corona ama unaota
 
Kwa hiyo Tanzania ina Corona siyo?
Subiri ikithibitika imerudi utatangaziwa na utaambiwa uvae mask, nawa mikono na sabuni kila Mara, zingatia umbali na ikizidi sana utaambiwa usitoke ndani. Kwa sasa umeambiwa serikali imepambana na corona na imeshinda ndio maana na ww huna corona, huoni mwenye corona na hujikingi na corona.
 
This all bullshit is the results of Monday phone calls between USA President elect and Kenyan President, halafu wabongo blindly tunaikandia nchi yetu kwa kufata mkumbo as if hao wanaotusemea tunaishia nao hapa nchini.
Corona Tanzania ipo, tena kwa kiwango kikubwa tu, sema Jiwe hataki habari hizo kuwekwa wazi
 
Subiri ikithibitika imerudi utatangaziwa na utaambiwa uvae mask, nawa mikono na sabuni kila Mara, zingatia umbali na ikizidi sana utaambiwa usitoke ndani. Kwa sasa umeambiwa serikali imepambana na corona na imeshinda ndio maana na ww huna corona, huoni mwenye corona na hujikingi na corona.
Serekali ilitangaza kuwa imeishinda Corona na miezi inayofuata ikachukua hela za kupambana na corona.Hii inathibitisha ya kwamba ni serekali isiyoaminika na inayodanganya watu wake juu ya mambo ya Corona.Ni serekali ya kihuni ambayo hata yenyewe haijiamini.Halafu nimekuambia ya kwamba mimi kutokuwa na Corona na kutokujikinga dhidi ya Corona haihalalishi wala haithibitishi kuwa Tanzania hakuna Corona.Ulielewa kuhusu hili?
 
Tupe idadi basi wewe unayejua waliokufa na corona mkuu. Sisi tunasema corona haipo ya kutisha wanaokufa na malaria ni wengi kuliko hao wa corona.
Wewe ni mpuuzi uanyefahamika hapa. Sina muda wa kupoteza na wewe. Hata kusoma na kuelewa huwezi.
Upuuzi unaoonyesha ni huu: utaniomba "nikupe idadi"..., hapo ulipo hata hujui mwenye jukumu la kufanya hivyo?
Kutwa, kucha upo hapa kuandika upumbavu kila wakati.
 
Corona Tanzania ipo, tena kwa kiwango kikubwa tu, sema Jiwe hataki habari hizo kuwekwa wazi
Basi kama anataka 'miradi ya awamu ya tano' isikwame kwa kuipa kipaumbele korona.. angalau angesisitiza wananchi wake kuchukua tahadhali! Jamaa anatufanya wananchi wake kama mwalimu mkuu wa shule ya msingi anavyowaendesha wwtoto.. anatuendesha tu!
 
Kwanini unaona afrika covid 19 imekuwa hafifu kuliko kwengine? Umetumia ni nini kujua hali ya covid19 huku afrika ni hafifu tofauti na huko kwengine?
Umeuliza swali nililokwishalijibu: "kwa nini afrika COVID-19 imekuwa hafifu..., soma tena niliyoandika hapo juu.

"Umetumia nini kujua hali ya COVID-19 huku Africa ni hafifu tofauti na huko kwengine"?
Hata kama Afrika wanakabiliwa na tatizo la kutokuwa na uwezo wa kupima watu wengi na kujua walioathirika; na pengine hata kutokuwa na uwezo wa kuwa na hakika vifo vinavyosababishwa na COVID-19, moja kwa moja au kuchangia vifo hivyo, ingetokea ikawa na nguvu kama ilivyoonyesha Ulaya na Marekani (kwa kuangalia takwimu), Afrika ingeshuhudia kasi hiyo, leo hii hata baadhi ya serikali zisingekuwepo.
Uwezo wa hospitali zetu ungeelemewa kabisa na watu wangekuwa wanapukutika tu hadi mitaani.

Sasa sijui kama utaelewa nilichoandika hapa.
 
Unaelewa kuwa Tanzania ilisaini mikataba ya WHO na ni mwanachama wa WHO na WHO walitoa miongozo jinsi ya kupambana na Corona na miongoni mwa miongozo hiyo ni kufanya mass testing kisha kutangaza matokeo?Tanzania inafanya hivyo?
Mkuu umekomalia hii issue balaa,hilo katazo si kwa Tanzania pekee 😀
 
Attachments

  • 20201202_231849.jpg
    20201202_231849.jpg
    77.5 KB · Views: 10
Back
Top Bottom