Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Nyinyi ni mapumbavu na mjinga ambayo kila mnalosikia kutoka Marekani mnaona ndiyo mwisho wa mambo yote.,Dada yangu nikuambie,maneno ya kipuuzi kama hayo tunayasikia kila mara lakini kila anayevunja sheria na taratibu hataachwa kwa sababu Marekani imesema.
Na Utake au usitake hicho kibaraka chenu kamwe hakiwezi kupata uongozi wa nchi hii.Mwalimu alishawahi kusema hatuwezi kukabidhi nchi kwa ma Mbwa.
Hivi kati yako na jiwe nani unaamini anaweza kuendesha nchi? Unajua pamoja na ujinga wako lakini unaweza kuwa bora kuliko Jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ieleweke nchi sio chama nchi Ni katiba chama chochote chaweza kuongoza watu kikiaminiwa na umma.
Vyama ufa , watawala ufa nchi udumu
 
Kweli kabisa. Ni wananchi na sio kikundi cha watu.
Anaemiliki nguvu ya umma ndie anaemiliki dola.Chama makini umiliki vyote kinawekeza kwenye umma zaidi kuliko dola,chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala ya umma
 
06 October 2020
Arusha, Tanzania

Lema aelezea kinagaubaga uvamizi wa ofisi yake Arusha​



Source : weyani tv
 

06 October 2020​

Polisi Arusha "yafafanua" ilivyoingia ofisi za Godbless Lema | Tuhuma za "kuendesha genge la uhalifu"​

 
Back
Top Bottom