Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Hivi Pascal unaona mchina ni rafiki wa kweli au? Acha kuongea vitu rahisi nakuambia, hata kama unataka post ongea unachokiamini sio unachokifikiri!! Ok number haziongopi!
Mkuu Gullam, naona umekuwa Sheikh Yahaya kwa kutabiri ninachoamini sio ninachofikiri. Kwa sasa Tanzania tunafuata diplomasia ya kiuchumi, rafiki wa kweli ni yule anayekusaidia. Nchi inayoongoza kwa kuisaidia Tanzania ni China,
Mimi nitakutajia misaada ya Uchina, wewe unitajie
ya kwa msaada wa watu wa Marekani
1. Tazara
2. CCM Chimwaga
3.Flyover ya Mfugale
4. Daraja la Kigamboni,
5. Bomba la Gesi
6. Ukumbi wa Mikutano wa JKNICC
7. Makataba mpya UDSM
8.Kiwanda cha Urafiki
9. Ubungo Interchange
10. Tuna mpango wa kuwabinafshia serikali yetu watuendeshee.

Wewe nitajie hao Wamarekani wanetusaidia nini?
P
 
Reactions: Qwy
Maazimio wa Zanzibar hayo😂😂😂😂😂
 
Sio misaada hiyo, ni mikopo mkuu. Halafu usiwele habari za chimwaga Dodoma. Huo ukumbi wa CCM sio wa serikali.
 
Satire, isn't it? Unasahau kule sir Lanka na Zambia wamejibinafsishia miundombinu waliyoijenga kwa mkopo ili kujirejeshea mkopo na riba yao? Chinese are not fool brother! Wawazie mara mbili ndio maana hata huko USA wanapigwa vita kwa wizi wa technology na bidhaa fake!
Kama ni kebehi basi wewe ni ngunguri wa kebehi!
 
Funga kabisa...jiwe soma hapa
 
Hujui wamarekani wametusaidia nini? Au umeamua tu, ngoja nikuache na misaada yako kutoka China!
 
Nyie wangese bavicha mamãe zenu
Umepanic kwa lipi sasa ilihali mwali kakukataa! Uongozi ni kipaji na talanta babu na siyo misuli! Utatukana hadi wakweo kwa kukosa busara ma hekima!
Itisheni kikao cha wazee wakushaurini jinsi ya kucoop na majirani msishupaze shingo!
 
Nimefuatilia huu uzi tokea mwanzo ila hapa nimeelewa vilivyo. Tafadhali mkuu nishauri nn nifanye ili tanzania iwe kitu kimoja
 
Sio misaada hiyo, ni mikopo mkuu. Halafu usiwele habari za chimwaga Dodoma. Huo ukumbi wa CCM sio wa serikali.
Kama unaamini CCM na serikali ni vitu viwili tofauti, endelea kuamini hivyo.
Mimi nijuavyo CCM ni chama dola ndicho kilichoshika hatamu kuongoza serikali na CCM itatawala milele.
P
 
Tujitaidi kurudisha Uhusiano mzuri na nchi za Magharibi badala ya kuendeleza marumbano ambayo hayatatusaidia.Swala la ushoga should not be treated as scapegoat kwa kuwa. watanzania wengi ni wastaarabu na wacha Mungu.Mwalimu Nyerere alikuwa ni mujamaa na mfuasi wa chama kimoja lakini alifika mahara akakubari kuwa mfumo wake wa chama kimoja kuwa VANGARD PARTY hautaleta ufanisi wa maendeleo bila kuwepo na ushindani.Sasa ndugu zangu tusipuuze ushauri kwani 'AN IDEA IS A BABY PLEASE KINDLY TREAT IT KINDLY
 
"Ninakuahidi muheshimiwa Rais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitakukabidhi Dar es salaam ikiwa na wabunge na madiwani wote wa CCM" - Paul Makonda, 2018.
huyo jamaa huwa akitaka kuongea anahusisha mdomo na tumbo na sio kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…