Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Magaidi wamempiga risasi lissu,wamempoteza ben saanane, walimteka mo .mpaka leo hawajakamatwa wala hakuna kesi mahakamani
 
Haya sasa! Malori yaandaliwe yakawalete watalii...
 
Facts are stubborn things, najua umesema shame on me kwa sababu ya hili la CCM kutawala milele!, no matter how bitter this is, it’s a fact.

P
Hahahaaaaah, ndio ninachokupendea unaelewa haraka sana. Uliposema watatawala milele, nikaona think tanker wangu sijui, acha nimuachie Mungu. Ila sitakengeuka juu yako kwa lolote unaloliamini, ila likiwa na mawaa nita challenge tu. Utanisamehe kwa hilo. Najua unajua USA walivyotusaidia tena bure bila hata kudai chochote. Sitakiwi nikutajie kwa kuw unajua tena vizuri kuliko mimi. Niseme akhsante kwa kukuibia muda wako.
 
hapa tunazungumzia misaada ya vitu vinavyoonekanika, visibility na sio humanitarian aid kama ARV.
P
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Magaidi wamempiga risasi lissu,wamempoteza ben saanane, walimteka mo .mpaka leo hawajakamatwa wala hakuna kesi mahakamani
Hapo Marekani kwenu (maana inaonesha Tanzania sio kwenu) wahalifu wote huwa wanakamatwa? Mbona walishindwa kuzuia tukio la Septembe 11? Acha ukuwadi
 
I didn't know you could think this shallow. China is your true friend? Why didnt you say that you are sufficient ...............?????
So sad the kind of journalists the country has
 
I didn't know you could think this shallow. China is your true friend? Why didnt you say that you are sufficient ...............?????
So sad the kind of journalists the country has
😷😷😷...
 
hapa tunazungumzia misaada ya vitu vinavyoonekanika, visibility na sio humanitarian aid kama ARV.
P
Ok, haya millennium change umeisahau? Miradi mikubwa ya barabara na Umeme? Daraja mbili - igawa Tanzam highway. Songea - Namtumbo - Tunduru. Tunduma - Sumbawanga. Kihansi Project, Mabibo hostel, Mbeya University of Technology. Extension of JNIA, hapo hauoni, siendi kwenye huduma za Afya, Elimu na mengine mengi. Hivi kweli hujui kuwa 60% ya bajeti yetu 30% anatoa USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…