Wanakuja na Noddles wanachemsha wanakula hawatoi kumiwatakuja wa china
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuja na Noddles wanachemsha wanakula hawatoi kumiwatakuja wa china
Magaidi wamempiga risasi lissu,wamempoteza ben saanane, walimteka mo .mpaka leo hawajakamatwa wala hakuna kesi mahakamaniKwa mwendo tunaoenda nao na kauli ya Rais Magufuli kuwa tumuombee sishangai kuyaona haya. Lazima wangeibuka tu na kutu-BLOCK. Tukiwa pamoja tutahimili vishondo vyao, ila sasa manyang'au ni wengi sana ambao tunao hapa nchini. Allah tutangulie kwani hujawahi kushindwa...wanaotupakazia ugaidi washindwe na walegee...
Shame on you Pascal!!Kama unaamini CCM na serikali ni vitu viwili tofauti, endelea kuamini hivyo.
Mimi nijuavyo CCM ni chama dola ndicho kilichoshika hatamu kuongoza serikali na CCM itatawala milele.
P
God bless Amerca....
Facts are stubborn things, najua umesema shame on me kwa sababu ya hili la CCM kutawala milele!, no matter how bitter this is, it’s a fact.Shame on you Pascal!!
Hahahaaaaah, ndio ninachokupendea unaelewa haraka sana. Uliposema watatawala milele, nikaona think tanker wangu sijui, acha nimuachie Mungu. Ila sitakengeuka juu yako kwa lolote unaloliamini, ila likiwa na mawaa nita challenge tu. Utanisamehe kwa hilo. Najua unajua USA walivyotusaidia tena bure bila hata kudai chochote. Sitakiwi nikutajie kwa kuw unajua tena vizuri kuliko mimi. Niseme akhsante kwa kukuibia muda wako.Facts are stubborn things, najua umesema shame on me kwa sababu ya hili la CCM kutawala milele!, no matter how bitter this is, it’s a fact.
P
😂😂😂😂😂😂😂😂💪💪😣👐👐👐Tutawatuma wanajeshi wetu wakawalete hao watalii kwa nguvu
hapa tunazungumzia misaada ya vitu vinavyoonekanika, visibility na sio humanitarian aid kama ARV.Hahahaaaaah, ndio ninachokupendea unaelewa haraka sana. Uliposema watatawala milele, nikaona think tanker wangu sijui, acha nimuachie Mungu. Ila sitakengeuka juu yako kwa lolote unaloliamini, ila likiwa na mawaa nita challenge tu. Utanisamehe kwa hilo. Najua unajua USA walivyotusaidia tena bure bila hata kudai chochote. Sitakiwi nikutajie kwa kuw unajua tena vizuri kuliko mimi. Niseme akhsante kwa kukuibia muda wako.
To hell with them, hata wamarekani wote na wazungu wasipokuja, it’s ok, hii warning ni utekelezaji wa mkakati huu
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? - JamiiForums
Hivyo they can just go to hell as long as tuna rafiki wa kweli Mchina, tukimkaribisha Mchina kwa bidii, anatosha
P
Hapo Marekani kwenu (maana inaonesha Tanzania sio kwenu) wahalifu wote huwa wanakamatwa? Mbona walishindwa kuzuia tukio la Septembe 11? Acha ukuwadiMagaidi wamempiga risasi lissu,wamempoteza ben saanane, walimteka mo .mpaka leo hawajakamatwa wala hakuna kesi mahakamani
😂😂😂😂😂😂😂Usikute ni huduma iliyo kinyume na maadili!
I didn't know you could think this shallow. China is your true friend? Why didnt you say that you are sufficient ...............?????To hell with them, hata wamarekani wote na wazungu wasipokuja, it’s ok, hii warning ni utekelezaji wa mkakati huu
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? - JamiiForums
Hivyo they can just go to hell as long as tuna rafiki wa kweli Mchina, tukimkaribisha Mchina kwa bidii, anatosha
P
😷😷😷...I didn't know you could think this shallow. China is your true friend? Why didnt you say that you are sufficient ...............?????
So sad the kind of journalists the country has
Ok, haya millennium change umeisahau? Miradi mikubwa ya barabara na Umeme? Daraja mbili - igawa Tanzam highway. Songea - Namtumbo - Tunduru. Tunduma - Sumbawanga. Kihansi Project, Mabibo hostel, Mbeya University of Technology. Extension of JNIA, hapo hauoni, siendi kwenye huduma za Afya, Elimu na mengine mengi. Hivi kweli hujui kuwa 60% ya bajeti yetu 30% anatoa USA?hapa tunazungumzia misaada ya vitu vinavyoonekanika, visibility na sio humanitarian aid kama ARV.
P
Pangaboi haziji USMabeberu bwana wameshaanza mambo yao, Serengeti watakuja tu kwani Simba watawaona wapi zaidi ya Serengeti? tena sasa hivi tuna madege yatawaleta mpaka KIA pale msihofu..
Mkuuu hii ndio dawa yao. Wakikataa kulipa tunawataifisha. Watanyooka tuu safari hii.Tutawatuma wanajeshi wetu wakawalete hao watalii kwa nguvu
😂😂😂😂😂😂😂👐👐👐Mkuuu hii ndio dawa yao. Wakikataa kulipa tunawataifisha. Watanyooka tuu safari hii.
Ahsante sana.Pole sana mzee.
Alitamka hivyo ?! Yeye na bosi wake hawana tofauti"Ninakuahidi muheshimiwa Rais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitakukabidhi Dar es salaam ikiwa na wabunge na madiwani wote wa CCM" - Paul Makonda, 2018.