Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kesho ingia barabarani na hao wamarekani wako tuone jeuri yakoPambaneni nao sasa si mnajifanya mnaweza kila siku na bunduki barabarani kuonea raia?? This time tuko tayari kuungana na wamaekani tuwafumue nyie wasenzi.mmetuonea sana.
Bora sasa tukose sote.
Subiri wazee wanabisha hodi mbona mnatetemeka??Kesho ingia barabarani na hao wamarekani wako tuone jeuri yako
Mnatetemeka nyie mitandaoni tu tena hao wazee wako wataanza kukufumua wewe hapo ulipoSubiri wazee wanabisha hodi mbona mnatetemeka??
Number 10 ndiyo nimeipenda, bravo Tz.Mkuu Gullam, naona umekuwa Sheikh Yahaya kwa kutabiri ninachoamini sio ninachofikiri. Kwa sasa Tanzania tunafuata diplomasia ya kiuchumi, rafiki wa kweli ni yule anayekusaidia. Nchi inayoongoza kwa kuisaidia Tanzania ni China,
Mimi nitakutajia misaada ya Uchina, wewe unitajie
ya kwa msaada wa watu wa Marekani
1. Tazara
2. CCM Chimwaga
3.Flyover ya Mfugale
4. Daraja la Kigamboni,
5. Bomba la Gesi
6. Ukumbi wa Mikutano wa JKNICC
7. Makataba mpya UDSM
8.Kiwanda cha Urafiki
9. Ubungo Interchange
10. Tuna mpango wa kuwabinafshia serikali yetu watuendeshee.
Wewe nitajie hao Wamarekani wanetusaidia nini?
P
Hayo maneno tu kama ya kwenye kanga. Wazee wakitimba ww ndiyo utakuwa wa kwanza kuingia uvunguniTutapigana kuilinda nchi yetu mkitaka muungane nao hao magaidi wote tuwafyekelee mbali
Naona ww utakua wakwanza kuingia barabarani kuwaunga mkono hao wazee ma keyboard warrior wa kimambiHayo maneno tu kama ya kwenye kanga. Wazee wakitimba ww ndiyo utakuwa wa kwanza kuingia uvunguni
Unasema kweli kabisa. Hawa jamaa ndio waliomtengeneza Osama, ndio walioanzisha kundi la ISLAMIC STATES. Inabidi kila mwananchi awe mlinzi wa nchi hii kwani vita vya kiuchumi vina namna yake ya kupigana. Na hii ni vita rahisi kama tutashikamana kama taifa. Wanaotumiwa tutawasubiria 2020.
hivi ni kweli kwamba ndiye anayemtafutia waganga jiwe kutoka Simiyu ?Makonda hawezi kuondolewa hata kwa winchi
MAMBO MENGINE YANAHITAJI HEKIMA, KUJIFANYA MBABE HALAFU BADO UNATEMBEZA BAKULI KWA HUYO HUYO UNAYEMTUKANA KUNA GHARAMA YAKE. KINA KIGWANGALA WANATUKANA OVYO KWA SABABU HAWANA EXPOSURE...ANGEJUA WENZETU MNAYOYAANDIKA YANA IMPACT KUBWA NA WANAWEZA WASIJE KABISA...UNAWATUKANA HALAFU UNATAKA WAJE WATUMIE FEDHA ZAO KWAKO.....THUBUTU, UTALII UNAWEZA UKAANGUKA HADI JIWE ASHANGAE, HATA HAO MILLIONI MOJA MSIWAPATE.Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.
Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.
Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.
Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.
Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.
=========
Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, and targeting of LGBTI persons.
Violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common. Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime.
Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.
Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.
Read the Safety and Security section on the country information page.
If you decide to travel to Tanzania:
Follow the Department of State and the US Embassy in Tanzania on Facebook and Twitter Review the Crime and Safety Report for Tanzania.
- Always carry a copy of your U.S. passport and visa and keep original documents in a secure location.
- Be aware of your surroundings.
- Do not leave your food or drink unattended.
- Stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners.
- Avoid public displays of affection particularly between same-sex couples.
- Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
U.S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist.
Souce: Tanzania Travel Advisory
Pamoja na hila za whites particularly Americans , bado tunatakiwa tukubari kwamba 'they are ahead us for many steps if we really dare to give the very truth to what they have speculated as to our national security (terrorism etc)'.Hatuna magaidi nchini na hatujafikio huko...
Tukio lolote la namna hilo likitokea tunajua ni wao...
Cc: mahondaw
Pascal,Chakula unapokipika, kitaiva kwa kiwango cha moto utakaopikia, ukipikia moto mdogo, hakitaiva kitakuwa kibichi, hivyo sisi waandishi wa Tanzania, hiki kiwango changu ndicho kiwango chetu tulichopikwa and I’m proud to be this kind kwa sababu this kind ndio the only stuff Tanzania market can swallow.
Find out the readership survey ya magazeti ya bongo, you’ll be surprised to find out Tanzanite ndio linaongoza, that is the stuff Tanzanians like to read.
P
Asante Maalim Mohammed Said, Asalaam Aleykum.Pascal,
Kuna gazeti moja Uingereza naamini unalijua linaitwa The Sun.
Mimi nikilisoma ndani ya treni watu wanalinuua wakishalisoma
hawaondikinalo kulipeleka nyumbani wanaliacha hapo hapo
kwenye treni au basi.
Hili gazeti wanalinunua kulisoma wakiwa katika mizungiko ya
mjini mathalan London, wanakwenda au kutoka kazini.
Gazeti hili nimelisoma sana na wenyewe Waingereza wanaliita
''gutter.''