Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Wabongo Kwa kupenda kukuza vitu. Hizo travel warning na possible issues mfano crime au terrorism. Kumbukeni terrorists washawahi ku-attack US embassy. Naona watu washarukia kusema Jiwe jiwe jiwe as if hizo travel warning zimeanza Leo.
 
Hizi ripoti wakenya wanapewa kila wakati na maisha yanasonga........cha muhimu maisha yaendelee
 
Hawa jamaa jua kwamba kamwe hua hawakurupukaji, France waliwahi kuonywa na yakatokea, westgate pale kenya pia, hata warusi pia tena juz juz na wakashukuru, kwa hio intel ya hawa jamaa sio ya kispot spot...hapa ni mawili kwamba ni kwel kabisa hili liko ama wao ndio wanalitekeleza ila kutimia ni lazima..habari kwamba ni propoganda sahauni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaneni nao hao Wamerakani... wakikataliwa matakwa yao watafanya juu chini kuvuruga wenzao...



Cc: mahondaw
 
Asante Maalim Mohammed Said, Asalaam Aleykum.
Nakubaliana na wewe kuhusu gazeti la the Sun na the Mirror, mimi nikiwa huko nilikuwa siyanunui nasubiria the left overs ndio nisome.

Pili nakubaliana na wewe kuhusu gutter na ndio hali yetu kwa sasa kuanzia gutter politics, gutter media that saves gutter society.

Zamani kwenye TV tulikuwa na programs kama Kiti Moto, leo mkuu wetu wa nchi anasema Shillawadu ndio the best TV program yeye anayoipenda na kwa vile Watanzania tunampenda, anachokipenda ndicho Watanzania tutapenda gutter TV program.

Tulikuwa JF ya mijadala na minakasha sasa nasi ni gutter jf, unasoma bandiko unapita na haurudi. Hii ndio Tanzania ya sasa hata kule www.mohammedsaid.com flow ya kushuka nondo imepungua.
Karibu tena.
P
Paschal,
Ahsante sana.
Umenipa kitu cha kunifikirisha kunambia sote tumebaki kuwa, ''gutter.''

Blog baada ya kutakiwa zilipe 1M ndiyo imekuwa mwisho toka hapo
sijaweka kitu kipya maana nikifanya hivyo nami sijalipa hizo fedha ni
kosa la jinai.

Si kama blog yangu nayo imekumbwa na ''gutter.''
 
Paschal,
Ahsante sana.
Umenipa kitu cha kunifikirisha kunambia sote tumebaki kuwa, ''gutter.''

Blog baada ya kutakiwa zilipe 1M ndiyo imekuwa mwisho toka hapo
sijaweka kitu kipya maana nikifanya hivyo nami sijalipa hizo fedha ni
kosa la jinai.

Si kama blog yangu nayo imekumbwa na ''gutter.''
Mkuu Maalim Mohammed Said, kwanza pole. Blogs zinazotakiwa kujisajili na kulipia hiyo 1.M ni blogs za news and events na zile online TV, lakini kwa personal blogs or websites, haihusu. Endelea kushusha vitu
kule www.mohamedsaid.com
P
 
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.

Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.

Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.

Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.

Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.
=========


Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, and targeting of LGBTI persons.

Violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common. Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime.

Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.

Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.

Read the Safety and Security section on the country information page.

If you decide to travel to Tanzania:
  • Always carry a copy of your U.S. passport and visa and keep original documents in a secure location.
  • Be aware of your surroundings.
  • Do not leave your food or drink unattended.
  • Stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners.
  • Avoid public displays of affection particularly between same-sex couples.
  • Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
Follow the Department of State and the US Embassy in Tanzania on Facebook and Twitter Review the Crime and Safety Report for Tanzania.

U.S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist.

Souce: Tanzania Travel Advisory
Umeumbuka.
 
huo uwongozi umeshaona kwamba tz kwa sasa hivi wamekua wajanja kwa hiyo hapo wanatafuta njia ya kuwadanganya raia wake wasije kuchangia uchumi wa nchi walijua bado ni shamba la babu #wamefeli waache kuja 2
 
Unasema kweli kabisa. Hawa jamaa ndio waliomtengeneza Osama, ndio walioanzisha kundi la ISLAMIC STATES. Inabidi kila mwananchi awe mlinzi wa nchi hii kwani vita vya kiuchumi vina namna yake ya kupigana. Na hii ni vita rahisi kama tutashikamana kama taifa. Wanaotumiwa tutawasubiria 2020.

Hakuna vita ya Uchumi acheni propaganda za kitoto vita ya Uchumi unapigana na nani?
 
Back
Top Bottom