Mabeberu wanatafuta kila njia kurudisha nyuma juhudi za JPM kuwaletea wananchi wake maendeleo! Next time nasisi tutakataaa kununua Boeing kutoka Marekani
Nchi tayari ina najis ndiyo maana hakuna democrasia, watu wanapotea, hakuna uhuru wa habari, kuna dalili za udikteta, hauna sustainable development e.t.c!