Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

KUFUATIA HALI YA WASIWASI JUU YA USALAMA WA RAIA WENYEWE 'WATANZANIA', SERIKALI YA MAREKANI IMETOA ONYO KWA KUWAHASA KUWA MAKINI PINDI WANAZURU TANZANIA.

KUPITIA IDARA YA SERIKALI IMEWATAKA WANANCHI WAO "KUCHUKUA TAHADHARI, KUTOKANA WASIWASI JUU YA UHARIFU, UTEKAJI NA VITENDO VINAVYOLENGA WATU KWA MISINGI YA JINSI" Inasoma taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Desemba 27, 2018.



Source: THE CITIZEN
 
Kwakweli kafanikiwa kutudhibiti ila kakosea kwa kutugawanya huku akikosana na wenye ramani ya hii nchi

Mbaya zaidi wanachi wana hali mbaya kiuchumi hivyo itakuwa ni rahisi sana kurubunika

Kama hatatengeneza mambo yake na hawa mabeberu tutegemee atachukua muda mfupi kwenye ufalme wake

Huwezi amini kama likitokea shambulizi la kigaidi kwenye majengo ya serikali wananchi watashangilia!
 
Hata USA kwenyewe polisi wao walishindwa kuzuia shambulizi la Sept 11.
Haha, mmeshikwa pabaya pumbavu...Wekeni sasa na ninyi tangazo la kutuzuia kwenda Marekani, au mzuieni Trump asije Tanzania
 
Hao wanahaingaika kutuchonganisha,nawahakikishia hawataweza. Asiyejua umuhimu wa amani asiende mbali angakieni hapo DR Congo.
Tanzania tunapenda amani kuliko kitu chochote
 
Aiseeee
 
Ina maana simba wapo Tanzania tu?
Mkuu tatizo LA Wa Tanzania tunadanganywa kuwa ni matajiri yaani hakuna nchi nyingine yenye navyo wakati mbuga zenye simba waina tofauti tofauti wanadhani sisi ndiyo tuna mbuga dhahabu na kila aina zipo mpaka kwa wachina dhahabu kibao
 
Hata USA kwenyewe polisi wao walishindwa kuzuia shambulizi la Sept 11.
Jifunze kutii kutoka kwa wengine na usipende kujilinganisha bila faida. Umeambiwa usipite hapa wewe unalazimisha kwa kisa eti mbona fulani kapita! Utaumia. La msingi ni kuchukua tahadhari yasijekukuta! Habari hii sio njema hata kidogo na binafsi nachukua tahadhari kwani gaidi hana rangi wala uniform! Mungu ingilia hii taharuki!
 
Wametoa tahadhari kwa raia wao wanaotaka kuja TZ. Hii nchi inajali sana raia wake.
 
Mkuu sisi kuwahoji wamarekani si akili, ni ubabe utakaotuumiza. Ni sawa na swala kwenda kuwahoji simba ni kwanini wamemrarua mwenzao. Tunajua kwann wamefanya hivi, tunazijua tabia zao. Sasa hapa kwanza ni kukanusha taarifa yao, kuwahakikishia kimaandishi kuwa nchi yetu mambo ni Safi sana na ikiwezekana kuwapa watoto na Wazee wao punguzo kubwa wakitembelea nchi yetu kitalii. Kuomba ushirikiano wa kiintelinjsia kama Kuna tishio ambalo halijatokea na sisi hatujaliona Ila wao wameliona na pia kuwashukuru kwa mchango mkubwa waliouonyesha huko nyuma kwa taifa letu. Halafu unakaa unawaangalia watatujibu nini.
 
The US state department has issued a travel warning to American wishing or visiting Tanzania over crimes, terrorism and human rights violation.
Dar es Salaam. The US state department has issued a travel warning to American wishing or visiting Tanzania over crimes, terrorism and human rights violation.
“The State Department urges US citizens to "exercise increased caution" while in Tanzania due to concerns over crime, terrorism and official actions targeting people on the basis of their gender or sexual identity,” reads a statement circulated on Thursday December 27, 2018.
The warning statement says US citizens should be cautious against violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common.
“Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime,” says a statement.
It went on saying terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.
“Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations,” says a statement posted on Travel.
Those who decide to travel to Tanzania, are called to always carry a copy of your US passport and visa and keep original documents in a secure location, be aware of their surroundings and should not leave your food or drink unattended.
They have also advised to stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners, void public displays of affection particularly between same-sex couples and enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
 
Hawa ni wa kufukuza, wanajaribu kuleta taharuki za kijinga kwa kila nchi inayowakataa

**** the Americans.
.
Usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake usije ukafanana nae.
.
Ni kukaa kimya tusijibu hizo hoja zao na kusonga mbele.
 
Mwenye zile picha za wale mbuzi wenye ndevu mithili ya Mullah aziweke hpa tafadhali
 
Hawa Jamaa wananusa Mbali, wameisha nusa Mbali! Ngoja tuendelee Kusubiria!
.
Wameshanusa hakuna dalili ya kulamba unga katika rasilimali zetu hivyo wameanza kutuchafua.
.
Mtu akishakushindwa ndio anakuja na hoja za kukusema vibaya kwa watu. Kwetu watz huu ni ushindi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…