Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Ulinganisha kwa matukio kwa mwaka jana peke yake Marekani wstu wameuawa wengi kuliko Tanzania Uganda na Kenya. Tena wahusika Domestic terrorism. Hawa watadanganya wafuasi wa UKAWA na hii habari
Dah jamaa wewe una akili sana tena sana. Tena sisi kwa Tz, sijui kama tunawahanga wa kuuawa kwa kushuti watu wengi kwa mpigo
 
sasa kama ofisi ya IMMA ADVOCATE ilipigwa mabomu na mpaka sasa hakuna hata aliyekamatwa unategemea nini ?
Ndiyo Mkuu, bado siamini kama kuna Amani katika Taifa la Tanzania! Na Sijui tulimkosea nini Mungu na Laana tuliyopewa hii ya Kuongozwa na Roho Mbaya hii!
 
Kwani waliomteka Mo sio magaidi? Waliompiga Lissu sio magaidi?

Wale siyo magaidi... ile ni special unit... wasiyotakiwa kujulikana for special operations...

Gaidi doesn't target whom to attack, wanafanya vitu ili wapate attention kwa kile wanachotaka...


Cc: mahondaw
 
May 25: Noblesville, Indiana

Two people were injured when a gunman opened fire at Noblesville West Middle School in Noblesville, Indiana.



May 18: Santa Fe, Texas

Ten people were killed in a shooting at Santa Fe High School.



May 11: Palmdale, California

A 14-year-old boy went to Highland High, his former school, and began shooting a semiautomatic rifle shortly before classes were scheduled to begin, officials said. A 15-year-old boy was struck in the shoulder.



April 20: Ocala, Florida

A 17-year-old student at Forest High School was shot in the ankle shortly before students were to walk out as part of a national protest against gun violence.. The suspect was a 19-year-old former student.



April 12: Raytown, Missouri

A man was shot in the stomach in the parking lot of Raytown South Middle School during a track meet.


April 9: Gloversville, New York

A student shot another student with a BB gun in Gloversville Middle School.


March 20: Lexington Park, Maryland

An armed student shot two others at Great Mills High School before a school resource officer fired a round at the shooter. The shooter was killed. One of the students, 16-year-old girl Jaelynn Willey, was taken off life support two days later.



March 13: Seaside, California

A teacher accidentally discharged a gun during a public safety class at Seaside High School, injuring a student.


March 8: Mobile, Alabama

One person was hospitalized after a shooting at an apartment building on the campus of the University of South Alabama.

March 7: Birmingham, Alabama

One student was killed and another critically wounded after an accidental shooting during dismissal time at Huffman High School. Police wouldn't elaborate further.


March 7: Jackson, Mississippi

A student was shot inside a dormitory at Jackson State University. His injuries were not life-threatening.


March 2: Mount Pleasant, Michigan

Two people were shot to death at a dormitory on the campus of Central Michigan University. The victims were not students and police think the incident stemmed from a domestic situation.


February 27: Norfolk, Virginia

A student at Norfolk State University was shot from an adjacent dorm room while he was doing homework. He was not seriously injured.

February 27: Itta Bena, Mississippi

A person was shot in a rec center at Mississippi Valley State University. Police said the person was not a student and the injury was not life-threatening.


February 24: Savannah, Georgia

A person was shot on the campus of Savannah State University and taken to a nearby hospital where he later died. Neither the victim nor the shooter were university students, the college said.


February 14: Parkland, Florida

A 19-year-old man gunned down students and staff with a rifle at Marjory Stoneman Douglas High School in Parkland, slaughtering at least 17 unsuspecting students and adults. The shooter, Nikolas Cruz, had been expelled from the high school over disciplinary problems, officials said.


February 9: Nashville

A high school student was shot five times in the parking lot of Pearl-Cohn High School.


February 5: Oxon Hill, Maryland

A high school student was shot in the parking lot of Oxon Hill High. The victim was treated and later released. Police arrested two teens and said they are acquaintances of the victim.


February 1: Los Angeles

A 15-year-old boy was shot in the head and a 15-year-old girl shot in the wrist at Sal Castro Middle School in Los Angeles, officials said. Two other students were grazed by bullets. A 12-year-old girl was booked for negligent discharge of a firearm in that shooting, which was considered "unintentional," Los Angeles police said.


January 31: Philadelphia

A fight led to a shooting in the parking lot of Lincoln High School, fatally wounding a 32-year-old man.


January 23: Benton, Kentucky

A 15-year-old student shot 16 people -- killing two other 15-year-olds -- at Marshall County High School, authorities said. The student faces two charges of murder and 12 counts of first degree assault.


January 22: Italy, Texas

A 15-year-old student was wounded in a shooting at a high school in Italy, Texas, authorities said. The suspect, also 15, was quickly apprehended.


January 20: Winston Salem, North Carolina

A Winston-Salem State University football player, Najee Ali Baker, was shot to death at a party on the campus of Wake Forest University

Halafu hawa wa kulinganisha na sisi. Marekani labda linganisha Somalia na South Africa. Watu hapa wanaamini kila kitu wamarekani wakisema
 
Uzalendo unaanzia kwa kiongozi wa nchi kama hana uzalendo huwezi kuona wananchi wakiwa na uzalendo.....Kumbuka kipindi cha Kikwete pamoja na mapungufu yake ya kiuongozi lakini bado wananchi walisimama nae kwenye maswala ya kimataifa.

Rejea mgogoro na Malawi kuhusu ziwa Nyasa, nchi nzima ilisimama nyuma ya Kikwete
Njoo Kwenye Mkwara wa Kagame, nchi nzima ilikuwa nyuma ya Kikwete.

Angalia alivyokuja Obama Ikulu, Viongozi wa upinzani wote walijumuika Ikulu pamoja na kuwa kulikuwa na msuguano kuhusu katiba wakati ule.

Je sasa hivi inaweza kutokea hivyo? na hao jamaa huwa wanapenyeza propaganda zao kwenye ufa.!
 
Mabeberu bwana wameshaanza mambo yao, Serengeti watakuja tu kwani Simba watawaona wapi zaidi ya Serengeti? tena sasa hivi tuna madege yatawaleta mpaka KIA pale msihofu..
Yanawaleta kutoka wp mkuu? Maana safari zake ni entebbe-Dar
 
America watu wanauwawa kuliko nchi yoyote east Africa halafu leo wanaleta kidomodomo.
Naona Tanzania,Kenya na Uganda zimewekwa level moja,halafu eti Rwanda hakuna hatari yoyote.
Mwenye akili ataona shida ilipo.
Tz inaingia mara ngapi kwa USA?
 
Watekaji wa Mohamed Dewji 'MO' wafikishwa kwa Magufuli
22 Dec 2018
Jeshi la Polisi nchini limekabidhi silaha mbalimbali kwa Rais Magufuli zilizokamatwa katika operesheni zake zilizofanyika ndani ya nchi katika kukomesha uhalifu. Baadhi ya silaha hizo ni zile zilizotumika kumteka mfanyabiashara maarufu nchini Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la MO

Source : Daily News Digital

Kwa taarifa yako utekaji marekani kama huu ni kama kawaida unatikea kila kukicha tena mpaka vibinti vidogo vinatekwa na kuuawa tatizo la mtu kama wewe hutaki kuutumikisha ubongo wako na kufanya research kabla hujaweka pumba.

Akon ni Mmarekani na Senegal kawaonya msipende sana kuzianika nchi zenu mkidhani Marekani ni peponi.
 
Watekaji wa Mohamed Dewji 'MO' wafikishwa kwa Magufuli
22 Dec 2018
Jeshi la Polisi nchini limekabidhi silaha mbalimbali kwa Rais Magufuli zilizokamatwa katika operesheni zake zilizofanyika ndani ya nchi katika kukomesha uhalifu. Baadhi ya silaha hizo ni zile zilizotumika kumteka mfanyabiashara maarufu nchini Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la MO

Source : Daily News Digital

 
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.

Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.

Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.

Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.

Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.

==========================================
The US State Department has issued a travelling warning to Americans wishing or travelling to Tanzania over crimes , terrorism and human rights violation.

The State Department has urged US citizens to "exercise increased caution" while in Tanzania due to concerns over crime, terrorism and official actions targeting people on the basis of their gender or sexual identity.

Violent crime is "common" in Tanzania, the State Department said on Wednesday, citing risks of assault, kidnapping, sexual assault and carjacking.

"Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania," the advisory also stated.
It added that lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex (LGBTI) persons have been "arrested, targeted, harassed and/or charged with unrelated offences".

"Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations," the State Department noted.

The resources
Wednesday's advisory does not cite specific incidents of crime, terrorism or abuse of LGBTI persons.
In the case of violent crime, the State Department did say that "local police may lack the resources to respond effectively".

Regarding the threat of terrorism, the advisory warned that attacks may target "embassies, police stations, mosques and other places frequented by Westerners".

In the Tanzania section of its 2017 global survey of terrorism, the State Department pointed to a series of small-scale attacks in which "masked gunmen killed more than 30 police and local political officials in the Pwani region".

A terrorist group
The perpetrators did not claim allegiance to a terrorist group, last year's terrorism report on Tanzania added.
The December 26 travel advisory concerning LGBTI persons may have come partly in response to comments in October by Dar es Salaam Governor Paul Makonda.
"I have received reports that there are so many homosexuals in our city, and these homosexuals are advertising and selling their services on the internet," Mr Makonda said in a video posted to YouTube.
"Therefore, I am announcing this to every citizen of Dar es Salaam: If you know any gays ... report them to me.”

Special precautions
Tanzania is designated a "Level 2" travel destination on a 4-level scale established by the Trump administration last year.
Kenya and Uganda are also listed as Level 2 countries where the US advises more than normal precautions.
Somalia and South Sudan are both given Level 4 designations, which carry a "Do Not Travel" warning.
Sudan receives a Level 3 classification, whereby US citizens are urged to "Reconsider Travel."
Rwanda is among the countries said to require no special precautions on the part of travellers.

Source: The Citizen
 
Ni kweli polisi wanakosa weledi wa kupambana na uhalifu na tumeona kwa akina Tundu Lissu, Beni Saanane, Azory Gwanda, Aquilina Aquiline and the list is endless ila ni very efficient ktk kupambana na wapinzani.

Hiyo Travel Advisory ni 100% correct kwani yaliyosemwa yapo na ajaye hapa ajue anakuja at his/her own peril. Tanzania imeporomoka kwa mambo mengi sana ya msingi na imebaki tu kuwa The Banana Republic. Very hopeless Shithole Country.
 
Tuwe makini sana na mahala tunapoipeleka nchi yetu..........na sisi vijana tuwe makini na hawa wazee wanatuendeshea nchi yetu.......mwisho wa siku haya mambo haya tutakuja kushikana mashati huko mbele
 
Mabeberu bwana wameshaanza mambo yao, Serengeti watakuja tu kwani Simba watawaona wapi zaidi ya Serengeti? tena sasa hivi tuna madege yatawaleta mpaka KIA pale msihofu..
Hebu elezea vizuri, maana simba wapo Kenya, ZA, Botswana
 
Back
Top Bottom