Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
[emoji41][emoji56]Usikute ni huduma iliyo kinyume na maadili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji41][emoji56]Usikute ni huduma iliyo kinyume na maadili!
Chakula unapokipika, kitaiva kwa kiwango cha moto utakaopikia, ukipikia moto mdogo, hakitaiva kitakuwa kibichi, hivyo sisi waandishi wa Tanzania, hiki kiwango changu ndicho kiwango chetu tulichopikwa and I’m proud to be this kind kwa sababu this kind ndio the only stuff Tanzania market can swallow.I didn't know you could think this shallow. China is your true friend? Why didnt you say that you are sufficient ...............?????
So sad the kind of journalists the country has
Flyover ya mfugale, Daraja kigamboni, na interchange sio msaada wala mkopo wa mchina, ila wakandarasi ndio wachina. Hapo naona umechanganya kidogo mkuu. Tofautisha wajenzi na misaada, naendelea kuifuatilia mingine uliyoorodhesha. Ili nithaminishe na USD $ 700M zilizotolewa mara 3 na USA.Mkuu Gullam, naona umekuwa Sheikh Yahaya kwa kutabiri ninachoamini sio ninachofikiri. Kwa sasa Tanzania tunafuata diplomasia ya kiuchumi, rafiki wa kweli ni yule anayekusaidia. Nchi inayoongoza kwa kuisaidia Tanzania ni China,
Mimi nitakutajia misaada ya Uchina, wewe unitajie
ya kwa msaada wa watu wa Marekani
1. Tazara
2. CCM Chimwaga
3.Flyover ya Mfugale
4. Daraja la Kigamboni,
5. Bomba la Gesi
6. Ukumbi wa Mikutano wa JKNICC
7. Makataba mpya UDSM
8.Kiwanda cha Urafiki
9. Ubungo Interchange
10. Tuna mpango wa kuwabinafshia serikali yetu watuendeshee.
Wewe nitajie hao Wamarekani wanetusaidia nini?
P
La 10 ndio limenifanya nikuheshimu sana, haya ucku mwema!!Mkuu Gullam, naona umekuwa Sheikh Yahaya kwa kutabiri ninachoamini sio ninachofikiri. Kwa sasa Tanzania tunafuata diplomasia ya kiuchumi, rafiki wa kweli ni yule anayekusaidia. Nchi inayoongoza kwa kuisaidia Tanzania ni China,
Mimi nitakutajia misaada ya Uchina, wewe unitajie
ya kwa msaada wa watu wa Marekani
1. Tazara
2. CCM Chimwaga
3.Flyover ya Mfugale
4. Daraja la Kigamboni,
5. Bomba la Gesi
6. Ukumbi wa Mikutano wa JKNICC
7. Makataba mpya UDSM
8.Kiwanda cha Urafiki
9. Ubungo Interchange
10. Tuna mpango wa kuwabinafshia serikali yetu watuendeshee.
Wewe nitajie hao Wamarekani wanetusaidia nini?
P
"Cha upinzani" kwema ndugu?Kumekucha !
Mtoto wa mkulu wa nchi.Alitamka hivyo ?! Yeye na bosi wake hawana tofauti
Sasa kailetea nchi shida kwa sababu za kicks. Poor Tz
Hahahahhhh[emoji23][emoji23][emoji23]
upekee wake wa kushindwa kutoa hata ajira ya kulumangia kwa zaidi ya miaka mitatu kila mtu anaufahamu"Cha upinzani" kwema ndugu?
Wasalime sana BAVICHAA na uwaambie Magufuli ni wa kipekee sana kwa hekima tele alizo nazo katika uongozi wa serikali ya awamu ya 5.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii warning tutajie kuzika ndugu zetukadhaa kabla 2019 kuisha. Tunakwenda kushuhudia kwa mara ya kwanza tukio kubwa la kigaidi. US hawana akili za kibashite. Wakisema jambo utake usitake litatokea. Tayari wanamtafutia visa Jiwe.Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.
Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.
Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.
Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.
Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.
================================
The US State Department has issued a travelling warning to Americans wishing or travelling to Tanzania over crimes, terrorism and human rights violation.
The State Department has urged US citizens to "exercise increased caution" while in Tanzania due to concerns over crime, terrorism and official actions targeting people on the basis of their gender or sexual identity.
Violent crime is "common" in Tanzania, the State Department said on Wednesday, citing risks of assault, kidnapping, sexual assault and carjacking.
"Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania," the advisory also stated.
It added that lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex (LGBTI) persons have been "arrested, targeted, harassed and/or charged with unrelated offences".
"Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations," the State Department noted.
The resources
Wednesday's advisory does not cite specific incidents of crime, terrorism or abuse of LGBTI persons.
In the case of violent crime, the State Department did say that "local police may lack the resources to respond effectively".
Regarding the threat of terrorism, the advisory warned that attacks may target "embassies, police stations, mosques and other places frequented by Westerners".
In the Tanzania section of its 2017 global survey of terrorism, the State Department pointed to a series of small-scale attacks in which "masked gunmen killed more than 30 police and local political officials in the Pwani region".
A terrorist group
The perpetrators did not claim allegiance to a terrorist group, last year's terrorism report on Tanzania added.
The December 26 travel advisory concerning LGBTI persons may have come partly in response to comments in October by Dar es Salaam Governor Paul Makonda.
"I have received reports that there are so many homosexuals in our city, and these homosexuals are advertising and selling their services on the internet," Mr Makonda said in a video posted to YouTube.
"Therefore, I am announcing this to every citizen of Dar es Salaam: If you know any gays ... report them to me.”
Special precautions
Tanzania is designated a "Level 2" travel destination on a 4-level scale established by the Trump administration last year.
Kenya and Uganda are also listed as Level 2 countries where the US advises more than normal precautions.
Somalia and South Sudan are both given Level 4 designations, which carry a "Do Not Travel" warning.
Sudan receives a Level 3 classification, whereby US citizens are urged to "Reconsider Travel."
Rwanda is among the countries said to require no special precautions on the part of travellers.
Source: The Citizen
Tutapigana kuilinda nchi yetu mkitaka muungane nao hao magaidi wote tuwafyekelee mbaliHivyo vita vyenu piganeni wenyewe. Mnataka kuwashirikisha wananchi ili wafe wakilinda milo yenu. Pambaneni wenyewe na hao wamarekani
Kama wewe ni mfatiliaji wa harakati nyingi za kivita na choko choko za marekani utaelewa hiyo tarifa bila kujali validity of the source.Sijui chanzo cha hii taarifa(validity yake) though jambo hili linaleta ukakasi kwenye intelligence yetu. Kama jambo hili ni kweli basi kuna haja ya kuhoji efficiency ya idara yetu ya usalama wa Taifa kama organ iliyopewa jukumu la kutulinda kwa kubaini viashiria vyote vya uvunjifu wa amani.
Mungu atuepushe kama hii taarifa ni ya kweli
Kama aibu aliyoipata Syria haimtoshi ajilete na huku pamoja na hao vibaraka waoKwa hii warning tutajie kuzika ndugu zetukadhaa kabla 2019 kuisha. Tunakwenda kushuhudia kwa mara ya kwanza tukio kubwa la kigaidi. US hawana akili za kibashite. Wakisema jambo utake usitake litatokea. Tayari wanamtafutia visa Jiwe.
Safi sana,hata Mugabe alifanya hivyo.To hell with them, hata wamarekani wote na wazungu wasipokuja, it’s ok, hii warning ni utekelezaji wa mkakati huu
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? - JamiiForums
Hivyo they can just go to hell as long as tuna rafiki wa kweli Mchina, tukimkaribisha Mchina kwa bidii, anatosha
P
Pambaneni nao sasa si mnajifanya mnaweza kila siku na bunduki barabarani kuonea raia?? This time tuko tayari kuungana na wamaekani tuwafumue nyie wasenzi.mmetuonea sana.Watanzania tuwapumbavu sana yaan mnafurahia propaganda za america kwa interest zake
Mo Dewji.Wazee wafitina wameanza, hawana aibu hata sababu za kuokota okota watazileta tu
Mkuu ndio wameshaanza tayari hili valangati wanasingizia magaidi lakini ni wao.Yameshakuwa hayo tena....hawa watu inahitaji upeo wa juu sana kujua dhumuni lao hasa.
Maana wanaanzaga mbali sana.!