Marekani yaweza kulipua kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow katika siku chache-Axios

Marekani yaweza kulipua kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow katika siku chache-Axios

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Marekani yatarajia kukishambulia kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow ndani ya siku chache, maafisa wa Israel waliiambia Axios, wakati rais wa Marekani anapima hatua za kijeshi katika mkutano wa ngazi ya juu wa usalama Jumanne. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo By Iran International, 10 minutes ago
Trump likely to bomb Iran's Fordow nuclear facility in days - Axios

Donald Trump is expected to strike Iran’s underground Fordow nuclear site within days, Israeli officials told Axios, as the US president weighs military action in a high-level security meeting Tuesday
 
Propaganda Iran hana Nuclear ila kama kawa ilikuwa inatafutwa sababu ya kumpiga Iran,kama kipindi kile walipo sema Iraq ana weapons of mass destruction, baadae wakina Tony wanakuja kujuta kwa walicho kifanya Iraq kwa sababu za taaifa za uongo. US ukiwa na Nuclear hasogezi pua yake,ndio maana North Korea anatamba ana Nuclear na zaidi ana ICBM.

US anaingia hii vita sababu mdogo wake ana hali mbaya,kishaanza kulalamika UN,lkn sio kwamba eti Iran ana Nuclear kwani huu ni uongo.
 
Hicho na vingine ni vya kufumulia mbali. Huwezi kutengeneza matakataka purposely kutishia usalama wa wengine na dunia kwa ujumla. Ugaidi umewaponza sana.
Alaf we dogo unaonekana hayo mahaba yako kwa Israel uko tayari hata kutimuliwa kinyesi
 
Untitled (1).png
 
Hayo ndio mafundisho ya madrasa.
Yana mbinu hayo sio poa! Discussion iko hivi from nowhere jitu linachomekea topic tofauti kabisa yenye mwelekeo wao. Hiyo ni indication #1 "tumevamiwa".
 
Back
Top Bottom