Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA
Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba.
Hii inatengeneza tabaka la watumishi wa umma walio juu ya Sheria ambayo ni kinyume na Ibara ya 13 ya Katiba ya Tanzania
> Aidha, marekebisho husika hayatoi sababu yoyote ya kinga kwa watumishi husika.
#Muswada2020 https://t.co/6svE3U6xHH