MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA
Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba.
Hii inatengeneza tabaka la watumishi wa umma walio juu ya Sheria ambayo ni kinyume na Ibara ya 13 ya Katiba ya Tanzania
> Aidha, marekebisho husika hayatoi sababu yoyote ya kinga kwa watumishi husika.
Bunge lina endelea kutumika kuimarisha Utawala wa ki'Sultani ,Haki tulizo pewa kwa Mlango wa mbele (Katiba) zime / zina nyofolewa tena kwa Mlango wa nyuma.Matokeo ya haya ni makubwa na tutarajie maamuzi ya hovyo ktk mambo Muhimu.